Binadamu tumeumbiwa hisia fulani ya kuweza kutambua Mambo yajayo, kwa mfano wengine mkono ukiwasha ni dalili ya kupata pesa, mwingine mguu kuwasha ni dalili ya safari, n.k
sasa hapa leo tushirikishane, Je ni ishara gani kwako hutokea ambayo ni kama angalizo la kuwa makini, ikiwa na maana ya kwamba huenda kuna Jambo baya litatokea uspokuwa Makini!
Mimi yangu ni Pale ninapopendwa na kila Mwanamke au Ninapotongoza halafu sikataliwi basi najua hii ni ishara ya kuwa makini nisije kwenda na maji!
KARIBUNI SANA!
ALFRED