Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Yeah, kwa hilo namshukuru Munguinatesa naelewa but ni nzr sana. you get taarifa kabla jambo halijatokea
hii neema iko kwa wachache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, kwa hilo namshukuru Munguinatesa naelewa but ni nzr sana. you get taarifa kabla jambo halijatokea
hii neema iko kwa wachache
inabidi niulize maybe una maana Nyingine.. Juzi Mtu mmoja nilibishana naye Kuhusu Logic (Mimi naelewa Mathematical Logic na Philosophical Logic) Yeye alikuwa na Maana zaidi ya hizo!umejibu kiustarabu
meaning you have subira with things or messages
Do you mean you did not understand ama unanichokonoa tu mkuu
Mkuu inaonyesha kuwa wewe ni mtata kwa kiasi fulani. Sijui nipo sahihi!?Mimi tumbo likianza kuunguruma tu...yaani haliumi ila linachemka, ujue baada ya nusu nakamatwa au kuna mtu ananihitaji kwa hila na hayuko mbali. Basi nasepa zangu hadi home...kweli bwana baadae nakuja kusikia flani uligombana nae? aisee angekushika leo!!!!
Mkuu una nini?Mimi tumbo likianza kuunguruma tu...yaani haliumi ila linachemka, ujue baada ya nusu nakamatwa au kuna mtu ananihitaji kwa hila na hayuko mbali. Basi nasepa zangu hadi home...kweli bwana baadae nakuja kusikia flani uligombana nae? aisee angekushika leo!!!!
siajkuelewa...unamaanisha nnMkuu una nini?
yeah of course...japo ungefafanua zaidi ningefunguka zaidiMkuu inaonyesha kuwa wewe ni mtata kwa kiasi fulani. Sijui nipo sahihi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihh! Unapaa?!mkono ukiwasha jicho likicheza kupe za juu pesa lazima iingie
nikiota napaa ujue siku za karibuni nitasafiri
ndio hujawah kuota namna hiyo? yaani unajihisi umekua Superman unakatiza hewani tu bila kifaa chochote
hahahahhaha haya bhana watu wana uelewa tofauti but hope my uelewa and yours ni sawa.inabidi niulize maybe una maana Nyingine.. Juzi Mtu mmoja nilibishana naye Kuhusu Logic (Mimi naelewa Mathematical Logic na Philosophical Logic) Yeye alikuwa na Maana zaidi ya hizo!
Mkuu usipuuzie kuna Maono unapewa kwa Njia hiyo!Dah mimi ni mtu wakupuuzia sana [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app