Je ishara gani kwako inakupa "onyo/Alert" ya Kuwa Makini? Mimi ni Hii Hapa..

Je ishara gani kwako inakupa "onyo/Alert" ya Kuwa Makini? Mimi ni Hii Hapa..

umejibu kiustarabu

meaning you have subira with things or messages

Do you mean you did not understand ama unanichokonoa tu mkuu
inabidi niulize maybe una maana Nyingine.. Juzi Mtu mmoja nilibishana naye Kuhusu Logic (Mimi naelewa Mathematical Logic na Philosophical Logic) Yeye alikuwa na Maana zaidi ya hizo!
 
Mkono wa kushoto ukiniwasha lazima nipate pesa siku hiyo. Alert nyingi nazipata kwa njia ya ndoto
Nilisahau kutaja Ndoto.. stick sana na hili..
 
mkono ukiwasha jicho likicheza kupe za juu pesa lazima iingie
nikiota napaa ujue siku za karibuni nitasafiri
 
Mimi tumbo likianza kuunguruma tu...yaani haliumi ila linachemka, ujue baada ya nusu nakamatwa au kuna mtu ananihitaji kwa hila na hayuko mbali. Basi nasepa zangu hadi home...kweli bwana baadae nakuja kusikia flani uligombana nae? aisee angekushika leo!!!!
Mkuu inaonyesha kuwa wewe ni mtata kwa kiasi fulani. Sijui nipo sahihi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi tumbo likianza kuunguruma tu...yaani haliumi ila linachemka, ujue baada ya nusu nakamatwa au kuna mtu ananihitaji kwa hila na hayuko mbali. Basi nasepa zangu hadi home...kweli bwana baadae nakuja kusikia flani uligombana nae? aisee angekushika leo!!!!
Mkuu una nini?
 
Ihh! Unapaa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio hujawah kuota namna hiyo? yaani unajihisi umekua Superman unakatiza hewani tu bila kifaa chochote

sio mara moja wala mara mbili hali hiyo imenitokea japo miaka hii inapungua kuna umri ilikua ikija mara nyingi sana.

na hii sio exclusive case, watu wengi wamewah kuota namna hiyo japo tafsiri juu ya halii hii inatofautiana.
 
inabidi niulize maybe una maana Nyingine.. Juzi Mtu mmoja nilibishana naye Kuhusu Logic (Mimi naelewa Mathematical Logic na Philosophical Logic) Yeye alikuwa na Maana zaidi ya hizo!
hahahahhaha haya bhana watu wana uelewa tofauti but hope my uelewa and yours ni sawa.

asante na uwe na weekend njema
 
hahahahhaha haya bhana watu wana uelewa tofauti but hope my uelewa and yours ni sawa.

asante na uwe na weekend njema
Oooh Asante Nimetoka Kwenye Mahangaiko ya Jumuiya Huko, uwe na siku Njema Pia Dada yangu!
 
Ndoto, Roho kuuma, Moyo kuenda mbio au kusikiliza/ kujikuta naimba nyimbo za misiba ( we thank thee) album ya Jim Reeves
 
Back
Top Bottom