Je ishara gani kwako inakupa "onyo/Alert" ya Kuwa Makini? Mimi ni Hii Hapa..

Oooh Asante Nimetoka Kwenye Mahangaiko ya Jumuiya Huko, uwe na siku Njema Pia Dada yangu!
ubarikiwe sana, over the weekend nimeamua ku-mute kwa ajili ya familia
trust umeamka poa sana kama mimi
 
Nikiwashwa kinyeo, natoka mbio kumkwepa niliye naye najua yajayo hayatafurahisha🙄🙄🙄🙄🙄
 
ubarikiwe sana, over the weekend nimeamua ku-mute kwa ajili ya familia
trust umeamka poa sana kama mimi
Nimeamka safi Kabisa, Familia Muhimu, Ndugu zetu wazungu wanasema "Family First"
 
hakika, nimeligundua hilo

na kuna mchungaji nimeona clip yake anasema hata ndugu akukosee kiasi gani bado ana thamani kubwa...tujifunze kusamehe na kuwa na furaha maishani mwetu.

Barikiwa sana
 
Babu Yangu Aliwahi Kuniambia, Ukiona Ndugu wanagombana Kamwe usiingilie Ugomvi wao, Kwa Maana ikitokea labda simba akatokea hapo hao ndugu watamshambulia kwanza simba wamuue ndipo waendelee na ugomvi wao, Hii ina maana ya Kwamba Conncetion ya Ndugu/Familia ni Kubwa na ni Muhimu sana!, Tupende Familia Zetu!
 
lovely, babu kakuachia ujumbe mzuri sana, utakuongoza na usiache kuwaachia vizazi vijavyo nao wajifunze umuhimu wa ndugu
 
Mimi kama kuna pesa naitarajia kuipokea ikakwama au mpango mzuri ukigoma; huwa nachukua tahadhari hasa ya kufunga na kuomba ili kusawazisha kwa Mungu.

Hujiuliza maswali mengi na kujitafakari mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na eneo na hali niliyonayo
 
Back
Top Bottom