Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,580
Mungu ni mwema na utuwazia mema, ila sisi makuzi mengi Mkuu.Uko vizuri sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema na utuwazia mema, ila sisi makuzi mengi Mkuu.Uko vizuri sana mkuu
wewe ni KE au ME, AiseeMimi nikishikwa shikwa maeneo ya Mfereji wa Matako huwa teyar najuwa nini Jamaa anahitaji, hivyo nakuwa Makini na Ky
Sent using Jamii Forums mobile app
ubarikiwe sana, over the weekend nimeamua ku-mute kwa ajili ya familiaOooh Asante Nimetoka Kwenye Mahangaiko ya Jumuiya Huko, uwe na siku Njema Pia Dada yangu!
We ni me ama keubarikiwe sana, over the weekend nimeamua ku-mute kwa ajili ya familia
trust umeamka poa sana kama mimi
yoteWe ni me ama ke
hakika, nimeligundua hiloNimeamka safi Kabisa, Familia Muhimu, Ndugu zetu wazungu wanasema "Family First"
Babu Yangu Aliwahi Kuniambia, Ukiona Ndugu wanagombana Kamwe usiingilie Ugomvi wao, Kwa Maana ikitokea labda simba akatokea hapo hao ndugu watamshambulia kwanza simba wamuue ndipo waendelee na ugomvi wao, Hii ina maana ya Kwamba Conncetion ya Ndugu/Familia ni Kubwa na ni Muhimu sana!, Tupende Familia Zetu!hakika, nimeligundua hilo
na kuna mchungaji nimeona clip yake anasema hata ndugu akukosee kiasi gani bado ana thamani kubwa...tujifunze kusamehe na kuwa na furaha maishani mwetu.
Barikiwa sana
lovely, babu kakuachia ujumbe mzuri sana, utakuongoza na usiache kuwaachia vizazi vijavyo nao wajifunze umuhimu wa nduguBabu Yangu Aliwahi Kuniambia, Ukiona Ndugu wanagombana Kamwe usiingilie Ugomvi wao, Kwa Maana ikitokea labda simba akatokea hapo hao ndugu watamshambulia kwanza simba wamuue ndipo waendelee na ugomvi wao, Hii ina maana ya Kwamba Conncetion ya Ndugu/Familia ni Kubwa na ni Muhimu sana!, Tupende Familia Zetu!
Endelea vivo hivo mkuuMimi kama kuna pesa naitarajia kuipokea ikakwama au mpango mzuri ukigoma; huwa nachukua tahadhari hasa ya kufunga na kuomba ili kusawazisha kwa Mungu.
Hujiuliza maswali mengi na kujitafakari mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Km we ni ke, basi jua nimekupendayote