Je ishara gani kwako inakupa "onyo/Alert" ya Kuwa Makini? Mimi ni Hii Hapa..

Je ishara gani kwako inakupa "onyo/Alert" ya Kuwa Makini? Mimi ni Hii Hapa..

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Binadamu tumeumbiwa hisia fulani ya kuweza kutambua Mambo yajayo, kwa mfano wengine mkono ukiwasha ni dalili ya kupata pesa, mwingine mguu kuwasha ni dalili ya safari, n.k
sasa hapa leo tushirikishane, Je ni ishara gani kwako hutokea ambayo ni kama angalizo la kuwa makini, ikiwa na maana ya kwamba huenda kuna Jambo baya litatokea uspokuwa Makini!

Mimi yangu ni Pale ninapopendwa na kila Mwanamke au Ninapotongoza halafu sikataliwi basi najua hii ni ishara ya kuwa makini nisije kwenda na maji!

KARIBUNI SANA!

ALFRED
 
Mkono wa kushoto ukiniwasha lazima nipate pesa siku hiyo. Alert nyingi nazipata kwa njia ya ndoto
 
Mimi tumbo likianza kuunguruma tu...yaani haliumi ila linachemka, ujue baada ya nusu nakamatwa au kuna mtu ananihitaji kwa hila na hayuko mbali. Basi nasepa zangu hadi home...kweli bwana baadae nakuja kusikia flani uligombana nae? aisee angekushika leo!!!!
 
Sometimes ni mateso bila chuki mamy! Inatesa ni basi
inatesa naelewa but ni nzr sana. you get taarifa kabla jambo halijatokea

hii neema iko kwa wachache
 
Back
Top Bottom