Wanatangaza sana TU fuatilia, drone ndio zinawasumbua kwenye battle field. Lakini wako sharp Sana kila katika Mita 2 Kuna shimo la kupotelea ardhini hivyo imewapunguzia casuality kubwa wapiganajihivi toka vita ianze Hamas hawajauawa hata mmoja mbona sioni Hamas wakitangaza vifo vya Hamas tunaona inatangazwa vifo vya wanawake na watoto
Mnaowaona wajanja Kwa kua wananguvu, vifaa na technollogia soon na wenzao vitawafikia mzani utakaa sawa TU. Umeona kilichomkuta Kwa hezb mwenye nguvu zaidi ya zake ardhini, huku yeye akimzidi nguvu za angani tu fasta kakimbia kumaliza ugomviWe unafikiri Israel hajui wenda mateka walishiauawa siku nyingi?
Mateka wanatumika kama kisingizio tu cha kumdunda adui yake.
Muarabu amejichanganya pabaya kwa myahudi kwasababu wote ni wazee wa 'jino kwa jino'.. tena myahudi kaanza kitambo.. historia yao imejaa vita
Umeua na kuteka raia 1200 halafu raia wako including wana jeshi na viongozi wakubwa zaidi ya 40,000 wameuawa plus kunyang'anywa makazi ya Gaza, hivi nani Kala hasara hapa? Sometimes akili za Waarabu na Wapalestina huaga za kipumbafu sanaIsrael hata hawajui mateka waliko
Mateka wana ndugu, pressure ni kubwa mpaka kuna muda Netanyahu haelewi, hata kwenye hili jambo la mateka imechangia sana Netanyahu kuvurugana na yule waziri wa ulinzi aliepigwa chiniakiwaua mateka sindio Bro Netanyahuu anapata kisingizio cha kuendeleza kipondo kisicho na ukomo kwa gaza
Somebody get this guy a radio.hivi toka vita ianze Hamas hawajauawa hata mmoja mbona sioni Hamas wakitangaza vifo vya Hamas tunaona inatangazwa vifo vya wanawake na watoto
Muddy kawaingiza Chaka🤣🤣🤣Mayahud na makafiri mtachomeka siku ya kiyamma inshallah
Allah tujalie zile rehema za peponi 😋
Dah kaka unazijua mita 2 yaan kila mita mbili kuwe na shimo saaa hiyo ardhi si itakuwa kama ule mchezo wa bao wa vishimo au itakuwa kama chombo cha kupikia vitumbuaWanatangaza sana TU fuatilia, drone ndio zinawasumbua kwenye battle field. Lakini wako sharp Sana kila katika Mita 2 Kuna shimo la kupotelea ardhini hivyo imewapunguzia casuality kubwa wapiganaji
Unawaongelea Hezibollah gani? Hawa waliochapwa ndani ya siku mbili na viongozi wa wote hadi warithi kuuawa? Si afadhal ya Hamas wamedumu mwaka?Mnaowaona wajanja Kwa kua wananguvu, vifaa na technollogia soon na wenzao vitawafikia mzani utakaa sawa TU. Umeona kilichomkuta Kwa hezb mwenye nguvu zaidi ya zake ardhini, huku yeye akimzidi nguvu za angani tu fasta kakimbia kumaliza ugomvi
Kama kuna Hamas wanaowashikilia hao mateka, basi hao Hamas ni agents wa Shin bet, wamewatunza hao mateka mahala and sometime wanaua baadhi ili kuendelea kuwalaza watu usingizi.Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
Kuna yule jamaa mnaemuombea kila mkisali sijui alifanya kosa ganMayahud na makafiri mtachomeka siku ya kiyamma inshallah
Allah tujalie zile rehema za peponi 😋
Israel hajui bhana,yuko overrated sana!We unafikiri Israel hajui wenda mateka walishiauawa siku nyingi?
Mateka wanatumika kama kisingizio tu cha kumdunda adui yake.
Muarabu amejichanganya pabaya kwa myahudi kwasababu wote ni wazee wa 'jino kwa jino'.. tena myahudi kaanza kitambo.. historia yao imejaa vita
Hamas bado wapo na bado wanaendelea kupigana na IDF!Israel hajui afanye nini kuwapata mateka wakiwa hai!Kama kuna Hamas wanaowashikilia hao mateka, basi hao Hamas ni agents wa Shib bet, wamewatunza hao mateka mahala and sometimeswanaua baadhi ili kuendelea kuwalaza watu usingizi. Haiwezekana wauawe viongozi wote wa Hamas hadi familia zao halafu ishndikane kuwapata hao mateka.
Imefika mahala hamas wamepukutishwa kabisa. Hata wewe sasa hiv na kipilipili chako ukijichanganya kukatiza mitaa ya Gaza ukiwa umevaa Kanzu, barakashia, mkonon tasbihi halafu chini umevaa kobaz hala kisigino kiekomaa na kupasuka kwa magaga, wanakukamata ili wakupe uongozi wa Hamas kinguvu, kwa jinsi wamepukutishwa.
Halafu kuuawa kote huko ndiyo wafanikiwe kuficha mateka tu
Hamas walishakubaliana kuwa hakuna mateka atakayeokolewa kwa nguvu za kijeshi akiwa hai,walipewa order kuwa wakiona IDF wanakaribia kuwaokoa mateka basi wawaue!akiwaua mateka sindio Bro Netanyahuu anapata kisingizio cha kuendeleza kipondo kisicho na ukomo kwa gaza
OkayUnawaongelea Hezibollah gani? Hawa waliochapwa ndani ya siku mbili na viongozi wa wote hadi warithi kuuawa? Si afadhal ya Hamas wamedumu mwaka?
Hezibollah sasa hivi wanafanya utaratibu wa kutaka kujisajili kama shirika linalofanya kampeni ya kuhimiza na kusaidia elimu ya watoto wa kike pale middle east
Hakuna nchi hapo middle east yenye jeshi bora la ardhini kuwazidi Hizbollah, ambao ni wanafunzi wa the late Martyr Qassim SulemanUnawaongelea Hezibollah gani? Hawa waliochapwa ndani ya siku mbili na viongozi wa wote hadi warithi kuuawa? Si afadhal ya Hamas wamedumu mwaka?
Hezibollah sasa hivi wanafanya utaratibu wa kutaka kujisajili kama shirika linalofanya kampeni ya kuhimiza na kusaidia elimu ya watoto wa kike pale middle east
Ndiyo wachapwe ndani ya siku mbili?Hakuna nchi hapo middle east yenye jeshi bora la ardhini kuwazidi Hizbollah, ambao ni wanafunzi wa the late Martyr Qassim Suleman
We jamaa nimecheka sana safi hiyo waziMazoefu ya kufa yale; yanakuambia ni ibada! Wacha yauliwe kama kuku.
Vichwa panzi hawawezi kukuelewaUmeua na kuteka raia 1200 halafu raia wako including wana jeshi na viongozi wakubwa zaidi ya 40,000 wameuawa plus kunyang'anywa makazi ya Gaza, hivi nani Kala hasara hapa? Sometimes akili za Waarabu na Wapalestina huaga za kipumbafu sana
Umeongea kishkaji sana mkuu, naona bado unaumiss ujana ambao ulishatangaza kuupa kweheri!.Mtu kapata kisingizio cha kumchapa adui yake Acha akitumie