Je, January Makamba “anahifadhiwa” kisiasa kwa ajili ya urais wa baadaye?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.

Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.

Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
 
Kwa chama gani?
Ndani ya CCM zamu hii ni ya Wagalatia, January ni kobasi.
Kama Katiba ya nchi tu wanaikanyaga watajali utamaduni tu waliojiwekea tena bila maandishi, hawa manyang'au wakitaka jambo lao hata ni kinyume cha katiba wanafanya tu kama walivyompitisha Samia kuwa mgombea kwa njia ya zimamoto.
 
Wakiwapora Wagalatia hiyo zamu yao panaweza kuwaka sana ndani ya chama wenyewe kwa wenyewe pasitoshe, halafu na huku nje TEC nao wakiwa wanawasaha moto wao itakuwa balaa, sidhani kama wanaweza kujaribu kuchukua hiyo risk, nadhani kwa sasa watajaribu ku keep the peace zaidi. Lakini pia kama wasemavyao wagiriki "When the gods want to destroy you, they first make you mad" sio ajabu wanaojihisi ndio wenye chama wakaendelea kufanya mambo ya ajabu ajabu na hovyo ya kuvunja precedents zao mbalimbali hata kubwa kama hiyo.
 
watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Wala hii sio sababu, CCM wameshabadilisha aina ya siasa zimekua za mabavu kwahiyo hata binti wa Samia akiwa mgombea atashinda kwa 98% na wanaweza ongoza marais wazanzibar milele na hamna wa kuzuia lolote.

Hizo taratibu za muislam na mkristo ni upuuzi wa CCM, sasa je ikitokea zamu ya bara na visiwani itakuaje? Nako itabidi waislam wa bara wasiwahi kupewa nchi?
 
kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.

Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.

Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Gentleman,
hakuna haja ya kubabaika wala kuweweseka sana kuhusu safu ya uongozi wa taifa letu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kumaliza ngwe yake ya mwisho madarakani.

Na hii iko wazi kwa kila mTanzania kwamba,

Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. Full stop.🐒
 
Samia ameshasema siku anaongea na wazee wa Dar kuwa Mrithi wake atamchagua yeye mwenyewe. So anaweza kuwa Ridhiwan wala hatokua wa kanisa maana hawana uhusiano mzuri naye.
Unafikiri Wa kanisani ndani ya CCM watakubali??
 
Mkuu ndege JOHN , japo sikubaliani na hii theory yako, kwasababu rais wa 2030, tayari tunaye, yupo kwa mujibu wa ule utaratibu wetu wa kawaida wa kupokezana, kati ya Mkristo na Muislamu, na akiwa Mkristo, lazima awe..., Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

Ila hoja zako zote kumhusu JYM ni very valid, kwasababu the guy is good and smart, January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Niliwahi kumfanyia News Analysis, kwenye PNA yangu PreGE2025 - PPR News Analysis : Kurejeshwa kwa Makamba ina maana kuna watu wamepwaya! Bado Nepi na Konda Boy!

Pia nimeisha pandisha hoja kadhaa kumhusu humu jf
Nilimfanyia kipindi
View: https://youtu.be/fkNtXlArv3I?si=hpjyOh_jbRv3W4JZ
Mara ya mwisho kukutana nae ni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma,
View: https://youtu.be/2lKkBLDxd9Y?si=Lh23THH24_8lAFXC

Huyu aliongoza kura za maoni za CCM lakini akakatwa, sijawahi kujua sababu za kukatwa kwake, ili kwa vile namkubali sana, niliumia na nikawabalasa hawa chinjachinja wa wagombea wazuri GE2025 - Masikini Nchi Yangu, Tanzania, Tunakosa Viongozi Wazuri kwa Dhulma!. Waliokatwa kwa Zengwe, Wangegombea as Independent, Wangeshinda!.

P
 
Samia ameshasema siku anaongea na wazee wa Dar kuwa Mrithi wake atamchagua yeye mwenyewe. So anaweza kuwa Ridhiwan wala hatokua wa kanisa maana hawana uhusiano mzuri naye.
Unamjua rais wa mianmba?
 
kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.

Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.

Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
January ni kama Lowasa, anautamani uraisi lakini hana bahati. Lowasa na mipesa yote ile na connection zake alitukosa. Kikwete aache kumpambania rizimoko ampambanie marope
 
Unafikiri Wa kanisani ndani ya CCM watakubali??
Eeeh mbona according to Mabeyo kuna waliompinga ila aliapishwa na bado aliondoa Team JPM wote na kujaza watu wake na hakuna aliyefurukuta. Uchaguzi wa mwaka jana ndani ya CCM haukufanyika alipitishwa juu juu tu na hakuna aliyeinua mdomo kupinga.

Hata kuna kelele imeanza sikika kuwa awamu yake rasmi ni hii ya 2025-2030 kwahiyo awamu yake ya pili ni 2030-2035. And trust me kelele ikiwa kubwa atagombea tena na atashinda kwa 98% na hakuna atakayenyanyua mdomo.

Hii nchi rais ni mungu na hakuna wa kumpinga.
 
Gentleman,
hakuna haja ya kubabaika wala kuweweseka sana kuhusu safu ya uongozi wa taifa letu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kumaliza ngwe yake ya mwisho madarakani.

Na hii iko wazi kwa kila mTanzania kwamba,

Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. Full stop.🐒
Huyo hata make top 5, bro put your money on another dog before you lose everything gentleman
 
Eeeh mbona according to Mabeyo kuna waliompinga ila aliapishwa na bado aliondoa Team JPM wote na kujaza watu wake na hakuna aliyefurukuta. Uchaguzi wa mwaka jana ndani ya CCM haukufanyika alipitishwa juu juu tu na hakuna aliyeinua mdomo kupinga.

Hata kuna kelele imeanza sikika kuwa awamu yake rasmi ni hii ya 2025-2030 kwahiyo awamu yake ya pili ni 2030-2035. And trust me kelele ikiwa kubwa atagombea tena na atashinda kwa 98% na hakuna atakayenyanyua mdomo.

Hii nchi rais ni mungu na hakuna wa kumpinga.
Kikwete alisema wachawi wote wamekufa, kikwete ndio master mind kwa sasa huko CCM ni mchawi pekee aliyebaki anayeamua nini kiwe. Power struggle ndani ya CCM zinawahusu wanaCCM nachojua hawawezi kutawala kwa amani kwa sababu hawana ridhaa
 
January ni kama Lowasa, anautamani uraisi lakini hana bahati. Lowasa na mipesa yote ile na connection zake alitukosa. Kikwete aache kumpambania rizimoko ampambanie marope
Lowassa alifanya kosa mwaka 1995 kumpa Kikwete ili yeye agombee baadae. Kati ya Kkwete na Lowassa, bingwa wa kusuka ramani alikuwa ni Lowassa na bila yeye Kikwete asingeenda popote. Baada ya Kikwete ugonjwa ulikuwa umeshamchosha, hakuwa tena na zile nguvu za vishindo la sivyo pangechimbika.
 
Back
Top Bottom