Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Huyo kibaka alivyotutesa na nyerere hydro power complition, bado tu mnamuonaga ni president material?kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.
Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.
Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Tz tuna raia wa ajabu sana isee!