ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kama Katiba ya nchi tu wanaikanyaga watajali utamaduni tu waliojiwekea tena bila maandishi, hawa manyang'au wakitaka jambo lao hata ni kinyume cha katiba wanafanya tu kama walivyompitisha Samia kuwa mgombea kwa njia ya zimamoto.Kwa chama gani?
Ndani ya CCM zamu hii ni ya Wagalatia, January ni kobasi.
Wakiwapora Wagalatia hiyo zamu yao panaweza kuwaka sana ndani ya chama wenyewe kwa wenyewe pasitoshe, halafu na huku nje TEC nao wakiwa wanawasaha moto wao itakuwa balaa, sidhani kama wanaweza kujaribu kuchukua hiyo risk, nadhani kwa sasa watajaribu ku keep the peace zaidi. Lakini pia kama wasemavyao wagiriki "When the gods want to destroy you, they first make you mad" sio ajabu wanaojihisi ndio wenye chama wakaendelea kufanya mambo ya ajabu ajabu na hovyo ya kuvunja precedents zao mbalimbali hata kubwa kama hiyo.Kama Katiba ya nchi tu wanaikanyaga watajali utamaduni tu waliojiwekea tena bila maandishi, hawa manyang'au wakitaka jambo lao hata ni kinyume cha katiba wanafanya tu kama walivyompitisha Samia kuwa mgombea kwa njia ya zimamoto.
Wala hii sio sababu, CCM wameshabadilisha aina ya siasa zimekua za mabavu kwahiyo hata binti wa Samia akiwa mgombea atashinda kwa 98% na wanaweza ongoza marais wazanzibar milele na hamna wa kuzuia lolote.watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Samia ameshasema siku anaongea na wazee wa Dar kuwa Mrithi wake atamchagua yeye mwenyewe. So anaweza kuwa Ridhiwan wala hatokua wa kanisa maana hawana uhusiano mzuri naye.Rais wa miamba na madaraja anasema ijayo ni zamu ya kanisa lao na yeye ndio mpeperusha bendera
Gentleman,kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.
Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.
Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Unafikiri Wa kanisani ndani ya CCM watakubali??Samia ameshasema siku anaongea na wazee wa Dar kuwa Mrithi wake atamchagua yeye mwenyewe. So anaweza kuwa Ridhiwan wala hatokua wa kanisa maana hawana uhusiano mzuri naye.
Mkuu ndege JOHN , japo sikubaliani na hii theory yako, kwasababu rais wa 2030, tayari tunaye, yupo kwa mujibu wa ule utaratibu wetu wa kawaida wa kupokezana, kati ya Mkristo na Muislamu, na akiwa Mkristo, lazima awe..., Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.
Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.
Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Unamjua rais wa mianmba?Samia ameshasema siku anaongea na wazee wa Dar kuwa Mrithi wake atamchagua yeye mwenyewe. So anaweza kuwa Ridhiwan wala hatokua wa kanisa maana hawana uhusiano mzuri naye.
January ni kama Lowasa, anautamani uraisi lakini hana bahati. Lowasa na mipesa yote ile na connection zake alitukosa. Kikwete aache kumpambania rizimoko ampambanie maropekuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.
Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni
usimchanganye na makundi mengi ya kisiasa
mpe muda akae “clean” mbele ya umma
halafu aje baadaye kama sura mpya yenye utulivu na image safi.
Na ukitazama siasa za sasa, watu wengi wanaonekana kuamini kwamba “rais ajaye lazima awe mkristo” kana kwamba ni sheria isiyoandikwa. Lakini honestly CCM ya sasa inaonekana increasingly pragmatic kuliko kushikilia sana taratibu za zamani. Inawezekana kabisa wakavunja huo mzunguko kama wakiona kuna candidate mwenye mvuto wa kitaifa, mtandao mzuri, na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujali dini yake.
Eeeh mbona according to Mabeyo kuna waliompinga ila aliapishwa na bado aliondoa Team JPM wote na kujaza watu wake na hakuna aliyefurukuta. Uchaguzi wa mwaka jana ndani ya CCM haukufanyika alipitishwa juu juu tu na hakuna aliyeinua mdomo kupinga.Unafikiri Wa kanisani ndani ya CCM watakubali??
Of course si Mwigulu Nchemba. Hatoteuliwa Urais huyo, atachaguliwa Pro samia kama Ridhiwan, Hussein Mwinyi, Nyansaho n.k. na hakuna kitu CCM mtafanya.Unamjua rais wa mianmba?
Huyo hata make top 5, bro put your money on another dog before you lose everything gentlemanGentleman,
hakuna haja ya kubabaika wala kuweweseka sana kuhusu safu ya uongozi wa taifa letu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kumaliza ngwe yake ya mwisho madarakani.
Na hii iko wazi kwa kila mTanzania kwamba,
Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. Full stop.🐒
Kikwete alisema wachawi wote wamekufa, kikwete ndio master mind kwa sasa huko CCM ni mchawi pekee aliyebaki anayeamua nini kiwe. Power struggle ndani ya CCM zinawahusu wanaCCM nachojua hawawezi kutawala kwa amani kwa sababu hawana ridhaaEeeh mbona according to Mabeyo kuna waliompinga ila aliapishwa na bado aliondoa Team JPM wote na kujaza watu wake na hakuna aliyefurukuta. Uchaguzi wa mwaka jana ndani ya CCM haukufanyika alipitishwa juu juu tu na hakuna aliyeinua mdomo kupinga.
Hata kuna kelele imeanza sikika kuwa awamu yake rasmi ni hii ya 2025-2030 kwahiyo awamu yake ya pili ni 2030-2035. And trust me kelele ikiwa kubwa atagombea tena na atashinda kwa 98% na hakuna atakayenyanyua mdomo.
Hii nchi rais ni mungu na hakuna wa kumpinga.
Lowassa alifanya kosa mwaka 1995 kumpa Kikwete ili yeye agombee baadae. Kati ya Kkwete na Lowassa, bingwa wa kusuka ramani alikuwa ni Lowassa na bila yeye Kikwete asingeenda popote. Baada ya Kikwete ugonjwa ulikuwa umeshamchosha, hakuwa tena na zile nguvu za vishindo la sivyo pangechimbika.January ni kama Lowasa, anautamani uraisi lakini hana bahati. Lowasa na mipesa yote ile na connection zake alitukosa. Kikwete aache kumpambania rizimoko ampambanie marope