Je, January Makamba “anahifadhiwa” kisiasa kwa ajili ya urais wa baadaye?

yupo kwa mujibu wa ule utaratibu wetu wa kawaida wa kupokezana, kati ya Mkristo na Muislamu, na akiwa Mkristo, lazima awe
Utaratibu kauweka nani? Udini wa CCM mnataka kuufanya wa kitaifa? Nachojua utaratibu ulipaswa kuwa akitoka bara anakua mzanzibar ila 2005 ikapita siasa chafu ilib Rais asiwe Salmin Ahmed. Ina make sense zaidi maana ni muungano ila kusema dini ni ujinga. Unadhani Kassim Majaliwa akigombea 2030 wakristo wantashindwa mpigia kura kisa muislam?
 
Kikwete alisema wachawi wote wamekufa, kikwete ndio master mind kwa sasa huko CCM ni mchawi pekee aliyebaki anayeamua nini kiwe. Power struggle ndani ya CCM zinawahusu wanaCCM nachojua hawawezi kutawala kwa amani kwa sababu hawana ridhaa
Si rahisi CCM iendelee kubaki kama ilivyo. Kadiri siku zinavyokwenda inazidi kuvurugika na kupoteza ushawishi kwa wananchi. Naweza kusema kwa kujiamini kuwa hakuna chama tena bali ni dola. Siku wakigombana (haitaepukika) ndiyo mwisho wake.
 
Mkuu, Majeshi yakishaamua yanasimama na serikali viongozi wa dini wanaweza hata pigwa ban kisheria kutojihusisha na siasa madhabauni.
 
Ccm siyo ya kuiunderestimate sana boss as long as Majeshi yote ya nchi yanamtii mwenyekiti wake.
 
Ccm siyo ya kuiunderestimate sana boss as long as Majeshi yote ya nchi yanamtii mwenyekiti wake.
Mkuu sijai-underestimate hata kidogo ndugu yangu. Mbona nimesema kabisa imegeuka kuwa dola? Hoja yangu ni kuwa chama kikishageuka kuwa dola na kikawa cha kifisadi basi kinajiua chenyewe. Wao kwa wao watageukana

Kuna mazingira ya ku support hao viongozi wa dini wapigwe ban na kuna mazingira hayata support. Hata madikteta huwa wana limit zao katika ku pull the levers of power wasije kusababisha kusambaratika.
 
Mkuu sijai-underestimate hata kidogo ndugu yangu. Mbona nimesema kabisa imegeuka kuwa dola? Hoja yangu ni kuwa chama kikishageuka kuwa dola na kikawa cha kifisadi basi kinajiua chenyewe. Wao kwa wao watageukana
Upo sahihi kabisa boss, tatizo ni kuwa ili kijiue kutoka ndani lazima ndani ya chama idadi ya watakao amua liwalo na liwe wawe wa kutosha na wawe na ushawishi kwenye majeshi, rejea ya polepole.

Binafsi naona wenye uwezo wa kuiua Ccm ni uma, WaTanzania waamue kwa idadi ya kutosha kuwa hiki chama sasa basi.
 
Huyo hata make top 5, bro put your money on another dog before you lose everything gentleman
hakuna cha top 1, 2, 3, 5 au 5 gentleman,

(Agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. Full stop.)

hakuna gharama, ramli nonsense wala nguvu kutumika kwenye hilo 🐒
 
Polepole hakuwa na mizizi na network ndani ya CCM, yeye na kina Bashiru, Kabudi ni watu waliobebwa na jiwe zaidi kuliko uwezo wao binafsi kwa hiyo sio watu wanaochukuliwa kwa uzito sana ndani ya CCM kubwa. Jiulize kwa nini Membe, Nchimbi au Nyalandu hawakuwahi kuguswa na jiwe pamoja na kelele zao na makandokando yao mengi.
 
Chai
 
hakuna cha top 1, 2, 3, 5 au 5 gentleman,

(Agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. Full stop.)

hakuna gharama, ramli nonsense wala nguvu kutumika kwenye hilo 🐒
Angeanza kuachana na zile oversized 3 button suits za vitambaa kama karatasi ndio afikirie uraisi
 
Angeanza kuachana na zile oversized 3 button suits za vitambaa kama karatasi ndio afikirie uraisi
mambo binafsi sio muhimu sana gentleman,

ni muhimu sana kufahamu na kutambua kwamba tayari agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040 ishajulikana kwamba,

NI DR. EMMANUEL JOHN NCHIMBI 🐒
 
Kwa sasa Tanzania haina President material ambaye ni clear ndani na nje ya CCM.

For change and progress Lissu is the only clear candidate among the aspiring candidates. Chaguo la watu.
 
Kama Katiba ya nchi tu wanaikanyaga watajali utamaduni tu waliojiwekea tena bila maandishi, hawa manyang'au wakitaka jambo lao hata ni kinyume cha katiba wanafanya tu kama walivyompitisha Samia kuwa mgombea kwa njia ya zimamoto.
Ni ngumu sana wataondoa power imbalance katika chama na Taifa so itaweza kuja kusababisha civilians wars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…