Je, January Makamba “anahifadhiwa” kisiasa kwa ajili ya urais wa baadaye?

Huyo kibaka alivyotutesa na nyerere hydro power complition, bado tu mnamuonaga ni president material?
Tz tuna raia wa ajabu sana isee!
 
Candidate mwenye mvuto wa kitaifa !!!!!! 😳🙄😳
Je na jamaa unaona yumo ???!! 😁🤣
 
Ni yule January aliyekuwa waziri wa nishati,na sera yake kubwa ilikuwa kuuza mitungi ya gas ya Rostam, kuweni serious kidogo
 
Huyu January unaemsema hapa una uhakika jina lake halitatokea kwenye report ya hii tume mpya ya kijinai...?
 
ccm kubwa ina wenyewe
 
MKUU INZEZE, Zaidi ya kuiba mitihani Galanos ni kipi alichofanya January Nchi hii cha nyinyi makapuku kumpiga debe? Umewahi kufika Bumbuli au unatumikishwa tu?
 
Mnasifia majizi?

Unahifadhi vipi jizi lililofisadi wizara ya nishati halafu baba yake anaulizwa anagombeza watu eti wawe na shukran.
 
January siyo mkristo
Ni mtoto aliyezaliwa na wazazi wenye dini tofauti
 
Kwa tulipofikia lolote linaweza kutokea.
Hakuna cha mkristo wala muislam. Hapo ataangaliwa atakayelinda maslahi tuu.
Hawawezi ku-risk kama kwa JPM.

Unafikiri akija mtu kama jpm atafanya makosa ya kupambana na adui kutokea mbali badala ya kurusha vyuma moja kwa moja kwenye kitovu?
 
There's honor among thieves.
Hata wezi nao kuna codes zao huwa wanazizingatia kati yao ili kuepusha mivurugano isiyo ya lazima. Hawawezi kukosa Mgalatia watakayemuamini kulinda maslahi yao wote.
 
There's honor among thieves.
Hata wezi nao kuna codes zao huwa wanazizingatia kati yao ili kuepusha mivurugano isiyo ya lazima. Hawawezi kukosa Mgalatia watakayemuamini kulinda maslahi yao wote.

Upo sahihi Sana
Tatizo litakuja pale shetani anapotaka kuwa malaika.
Kwamba amefanya mabaya mengi sasa anaona njia ya kujitakasa ni kuwalipia kisasi walioonewa wote ili naye angalau aone hata jema lake moja
 
Hiyo ilimkuta Joseph Kabila na Dos Santos wa Angola vibaraka wao walipowageuka vibaya.
 
Jamani lijanuari lizuri lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…