Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
Hakuna moto wa milele Wala jehanamu ya milele.

Nakupa mifano sodoma nagomora viliteketezwa milele. Swali ni je Badi Hadi Leo watu wanaungua na moto pale ?

Maandiko yanaposema milele haimanisha moto utawaka milele na watu watachomwa milele hawatakufa yaani wao ni wakuungua moto tu Kila Leo la hasha.

Bali manake ni kwamba wataunguzwa na kufa kabisa na hawatakuepo milele zote!

Kama huta elewa hii code Bado sana mkui
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Jehanamu haipo wala mbingu (pepo) haipo.

Uwepo wa jehanamu ni hadithi za kutungwa, kusadikika na kufikirika tu, Sawa na uwepo wa Dragons🐉 watemao moto midomoni mwao.

Jehanamu haijawahi kuwepo, haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ukitaka kujua Jahannam inafananaje mbona rahisi tu

Jahannam ni moto mkali unaowaka na pia Kila siku tunaliona Jua jinsi lilivyo na moto mkali unaowaka

Yani Mungu atengeneze Jua alafu ashindwe kutengeneza Jahannam

Hilo Jua tu ni Jahannam tayari na yawezekana Jua ndio Jahannam yenyewe kazi yake itakuwa kuliseti tu lije karibu
 
Mkuu huko jehanamu zitachomwa nini? Kama ni roho zitasikiaje maumivu? Kama hayo maumivu ni ya milele si yatazoeleka
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mtu akitoka kwenye vazi linaloitwa mwili, mwili haiwezi kusikia tena maumivu.

HISIA Iko kwenye NAFSI Si katika mwili.

Roho Ina maumivu ndio. Hujawahi kupata
Mkuu huko jehanamu zitachomwa nini? Kama ni roho zitasikiaje maumivu? Kama hayo maumivu ni ya milele si yatazoeleka
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Maumivu unayopitia katika mwili Yako katika NAFSI.

Miili ya kiroho Ina maumbo na inateswa na kusikia maumivu,

Mapepo ni viumbe waliolaaniwa na Wana maumbo na hupigwa na kutumia kupitia maombi.

Neno la Mungu ni Nyundo, ukiomba na kunukuu neno la Mungu, kule katika Ulimwengu wa Roho, Pepo anapigwa nyundo kabisa. Neno pia ni upanga ukatao kuwili, ukinukuu maandiko, mapepo hukatwa na panga halisi za kiroho.

NB: Mwili ni vazi tu la Roho, Roho ndio mtu mwenyewe.

Jitambue kuwa wewe ni IMMORTAL!! Ubarikiwe!!
 
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mtu akitoka kwenye vazi linaloitwa mwili, mwili haiwezi kusikia tena maumivu.

HISIA Iko kwenye NAFSI Si katika mwili.

Roho Ina maumivu ndio. Hujawahi kupata
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Maumivu unayopitia katika mwili Yako katika NAFSI.

Miili ya kiroho Ina maumbo na inateswa na kusikia maumivu,

Mapepo ni viumbe waliolaaniwa na Wana maumbo na hupigwa na kutumia kupitia maombi.

Neno la Mungu ni Nyundo, ukiomba na kunukuu neno la Mungu, kule katika Ulimwengu wa Roho, Pepo anapigwa nyundo kabisa. Neno pia ni upanga ukatao kuwili, ukinukuu maandiko, mapepo hukatwa na panga halisi za kiroho.

NB: Mwili ni vazi tu la Roho, Roho ndio mtu mwenyewe.

Jitambue kuwa wewe ni IMMORTAL!! Ubarikiwe!!
Mkuu kama roho yangu itachomwa milele sasa kulikuwa kuna haja gani ya mungu kuiumba roho ambayo ataichoma milele?
 
Mkuu kama roho yangu itachomwa milele sasa kulikuwa kuna haja gani ya mungu kuiumba roho ambayo ataichoma milele?
Ni uamuzi wako uchomwe milele,

Au uishi milele ukifurahia Mbinguni.

Wewe ndiye mwamuzi wa hatma Yako, Umepewa akili uchague Uzima au MAUTI.

Ubarikiwe 🙏
 
Ni uamuzi wako uchomwe milele,

Au uishi milele ukifurahia Mbinguni.

Wewe ndiye mwamuzi wa hatma Yako, Umepewa akili uchague Uzima au MAUTI.

Ubarikiwe 🙏
Ok, so una maanisha yeye Mungu wakati ananiumba alikuwa hajui mimi ntachagua nini?
 
Maisha ya bongo tu jahanamu tosha ukiweza ishi bongo utashindwa vipi kuhusu jhanamu
 
Back
Top Bottom