Man Jau
Umemwambia Aache kutenda Dhambi,
Nikukumbushe kitu,
Ni hivi
Iwe kutenda Dhambi au utakatifu ,haitokani na mtu yoyote Ila nguvu iliotawala mtu Huyo,
Ni sawa na kusema nguvu Fulani imeatamia mtu Huyo ,Sasa utamwambiaje Aache kutenda Dhambi , hivi unajua hata uwo utakatifu unao mshauri aufuate sio yeye Ila tu ni Kwa njia ya Ile nguvu ikiingia ndani ya mtu na kusambaratisha Utawala wa nguvu ulioikuta ndani ya mtu Sasa ule Utawala wa nguvu ovu ukisambalatisha na Utawala wa Nuru ,
Ndipo hapo mtu Huwa huru Katika Roho yake ,Katika kutenda utakatifu wote maana utumwa au shinikizo la Giza lililo myweka Katika utumwa wa dhambi ,ambao Leo hii huku mwilini unamuuona kama jamaa ni mpenda dhambi Sana ,Kila likipita Tako kalionla kike analitamani ,
Bila kujua teari Kuna boliti LIKO macho I pake linabmpa kukosea,
Sasa unaona kuwa hili swala sio mbio za mtu mkuu,
Siku nyingine ,usimwambie mtu ,Aache dhambi maana sio yeye,ni kitu kingine Kiko ndani yake,
Zungumza naye mtu kiroho,na sio kimwili kama hivyo ,mtu Huyo hato acha dhambi maana nguvu ya kimwili ndio iliotawala Roho yake mtu Huyo hato kuelewa ukiendelea na wewe kumpa lugha za kimwili
Zungumza kiroho Ili nguvu ya Roho ije kukamata mwili wake na huo ndio ushindi,na hapo Sasa man Jau mtu wa aina hio nae,HATOKUJA KUELEWA LUGHA YA MAMBO YA KIMWILI ATAELEWA LUGHA ZA KIROHO NA MTU HUYO UKIZUNGUMZA AU KUPANDA NENO LA KIROHO NDIPO HAPO MBEGU ITAOTA NA KUMEA,