Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

Tuwaombee tu, maana mtu akisha kufa, KAZI inaanza, na hakuna TOBA kule,

Ni KAZI KAZI, kutinduliwa, kuunguzwa, tocharing Kwa kwenda mbele!!
Show ya Kule Hamas Wana nafuu,

Dubwana Huyo anaeitwa JEHANAM,Anakalisha show zote za duniani ,za mateso zionekana ni show mbovu,

Dhiki,njaa mateso na ugaidi unaoendelea Sasa duniani hizo zote ni show mbovu,

JEHANAM Amewekwa kwaajili ya zile show za funga kazi,

Show zote mbovu za mateso ya Dunia ,ukizijumlisha inaipata show Moja nayo ni JEHANAM
 
Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
Hiyo peke yake inatosha kumchoma mtu milele na milele? Then wafaidike na nini?
 
kila neno la beti moja ya wimbo wa kidunia adhabu yake ni kuchomwa sindano ndugu adhabu ya kiamaa si utani, toba ndio dawa pekee
Asante Sana ,ndugu ,Kwa kuchangia,

Ziwa la Moto alinaga show mbovu,
 
Show ya Kule Hamas Wana nafuu,

Dubwana Huyo anaeitwa JEHANAM,Anakalisha show zote za duniani ,za mateso zionekana ni show mbovu,

Dhiki,njaa mateso na ugaidi unaoendelea Sasa duniani hizo zote ni show mbovu,

JEHANAM Amewekwa kwaajili ya zile show za funga kazi,

Show zote mbovu za mateso ya Dunia ,ukizijumlisha inaipata show Moja nayo ni JEHANAM
Kule mtu anaitwa ndani ya blender na kusagwa kama juc,

Halafu haiiishii hapo, unarudishiwa tena mwili wa kiroho, mateso yanaendelea.

Watu tugeuke na kutubu kumrudia Mungu tungali hai, baada ya KIFO tu KAZI inaanza, na Haina mwisho.
 
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,

Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,

Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,

Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,

Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,

Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,

Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,

Nawasilisha,
Karibuni,
17154445596644347529205034762002.jpg
17154446478617530755609583309238.jpg
 
Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
Rabbon
Kinacho nifanya ,ni ulize,

Kuna upande wao wanasema sio Milele,

Ngoja nielezee,wanacho dai,
.wao wanasema kuwa,ashabu ya Ziwa la moto sio la Milele,SABABU YAO WANAYOITOWA NI KUWA WATU HAO HAWANA UZIMA WA MILELE UTAOWAWEZESHA KUISHI MILELE ,HIVYO WATA KUFA KWA KUKOSA UZIMA WA MILELE NA HIO NDIO HOJA YAO NA,

KWA UPANDE WA PILI YESU NA UFUNUO WA YOHANA INAGUSIA HABARI ZA MILELE,

SASA HAPO NDIPO KUNA MVITANO WA UWELEWA WA KIMAANDIKO KUNA WATU WANAICHIKULIA MAUTI YA PILI KAMA HII YA KIMWILI YAANI WANAKUDA NA ROHO ZAO KUPOTEA KABISA HIO NDIO MAUTI YA PILI NAKUNA WANAO SEMA ROHO HAZIFI ,HIVYO MOTO ILE ADHABU NDIO KIWAKILISHI CHA MAUTI YAO YA PILI BILA ROHO KUDA AU KUPOTEA
 
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,

Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,

Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,

Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,

Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,

Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,

Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,

Nawasilisha,
Karibuni,
Kiranga
 
Rabbon
Kinacho nifanya ,ni ulize,

Kuna upande wao wanasema sio Milele,

Ngoja nielezee,wanacho dai,
.wao wanasema kuwa,ashabu ya Ziwa la moto sio la Milele,SABABU YAO WANAYOITOWA NI KUWA WATU HAO HAWANA UZIMA WA MILELE UTAOWAWEZESHA KUISHI MILELE ,HIVYO WATA KUFA KWA KUKOSA UZIMA WA MILELE NA HIO NDIO HOJA YAO NA,

KWA UPANDE WA PILI YESU NA UFUNUO WA YOHANA INAGUSIA HABARI ZA MILELE,

SASA HAPO NDIPO KUNA MVITANO WA UWELEWA WA KIMAANDIKO KUNA WATU WANAICHIKULIA MAUTI YA PILI KAMA HII YA KIMWILI YAANI WANAKUDA NA ROHO ZAO KUPOTEA KABISA HIO NDIO MAUTI YA PILI NAKUNA WANAO SEMA ROHO HAZIFI ,HIVYO MOTO ILE ADHABU NDIO KIWAKILISHI CHA MAUTI YAO YA PILI BILA ROHO KUDA AU KUPOTEA
Wanajidanganya,

Na uongo huo ni mafundisho ya mapepo katika form ya WANADAMU.

Ikiwa neno la Mungu limesema shetani na wote watenda dhambi watapata adhabu ya milele, Unadhani anayewambia au kuwahadaa ni nani kama sio shetani aliye baba wa uongo?

Mtu ni ROHO, Roho Haina mwisho.

Ni whether uingie Mbinguni uishi milele, au uchomwe JEHANUM milele.

Roho has got no end.

Amen
 
Rabbon
"*Una hoja nzuri,nimeipenda hii uliosema,
Mtu ni ROHO, Roho Haina mwisho.

Ni whether uingie Mbinguni uishi milele, au uchomwe JEHANUM milele.

Roho has got no end.*"

Vipi kuusu mfano wa uchafu, huteketezwa lengo ni Ili uteketee usiwepo,
Na wanasema Mungu anaweza teketeza hata Roho ikapotea,
 
Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
milele kwa maana kwamba mtu anachomwa tu moto anaungu halafu hafi au?
 
Rabbon
"*Una hoja nzuri,nimeipenda hii uliosema,
Mtu ni ROHO, Roho Haina mwisho.

Ni whether uingie Mbinguni uishi milele, au uchomwe JEHANUM milele.

Roho has got no end.*"

Vipi kuusu mfano wa uchafu, huteketezwa lengo ni Ili uteketee usiwepo,
Na wanasema Mungu anaweza teketeza hata Roho ikapotea,
(Marko 9:48)

Mahali ambapo, "funza wake hawafi, Wala moto wake hauzimiki."

Kumuelewa Mungu inahitaji uwe na AKILI za Mbinguni, usaidiwe na Roho mtakatifu.

Imagine funza anauma watu na Yeye haunguzwi na moto huo Wala Hafi.

Pasipo Imani, Haiwezekani kumwelewa au kumpendeza, Wala kumjua Mungu.

Ubarikiwe 🙏
 
Haya mambo niliacha kuyaamini nikiwa na miaka 8 hakuna Cha moto wala Nini ishi ufe uoze urutubishe ardhi ecosystem iendelee
Maisha ya Watanzania tayari wapo motoni, sasa kuna moto zaidi ya huu?

Sijawahi kuona Baba anayeweza kumchoma mwanaye moto, halafu Yesu si alishabeba dhambi za binadamu? mbona tunaleteana ngonjera nyingine?
 
Kwa wale ambao wamemshirikisha Mungu kwa kusema Mungu ni watatu hao watachomwa moto milele, na wale wenye dhambi ila waliamini Mungu ni mmoja hajazaa wala hajazaliwa wao wataadhibiwa kutokana na dhambi zao lakin baadae utapita msamaha na watatolewa katika adhabu.

Na kwa wale waliofanya mema wakatubu dhambi zao na wakamuabudu Mungu mmoja ambae hajazaa wala hajazaliwa na wala hakuna anaefanana nae hao malipo yao yatakua ni kuingia peponi
 
Back
Top Bottom