Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Itakua hao vijana ni ccm ndomana hawaguswi.
Kwamba wakigundulika hao beach boys ni vijana wa chadema ndipo Serikali ya Daslamu itachukua hatua haraka urgently?
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua hao vijana ni ccm ndomana hawaguswi.
Wamekugo#a mke wKo nini mkuu? [emoji23]Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?
Nilianza Kulishuhudia Kawe Beach kisha baadae nikaliona tena Coco Beach nikadhani labda ni Wao tu lakini hivi karibuni nimelishuhudia tena Kunduchi Beach na hivi ninavyoandika nimetoka Kulishuhudia Ununio Beach. Kama Kazi ya Kukabiliana nao hawa 'Wahuni' imewashinda hebu turuhusuni basi Sisi Raia akina GENTAMYCINE tumalizane nao 'Kimafia' zaidi na mtawakuta 'Mochwari' huko.
Inakera, inaudhi na haivumiliki tena. Wana JamiiForums wengi tu hapa wameshaliibua hili na nilidhani ilikuwa ni wakati 'muafaka' kabisa Kwenu kulitatua ila naona 'mnalikodolea' tu. Labda Siku Wake zenu na Watoto wenu (hasa Mabinti) wakienda 'Kukojolewa' ndani ya Maji huku Samaki wakiwa wanashuhudia na kuchekelea ndani ya Maji na mkiumia 'Mioyo' yenu ndipo mtatuelewa Wadau.
---
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.
Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.
Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.
Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )
Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
Hilo tatizo mostly lipo Kawe Beach.
Wale vijana Ni wa hovyo sana. Mara kadhaa nimewahi kushuhudia kitu Kama hiko kwenye ile beach,wale masela wa beach za ununio kidogo wanajielewa.
Bado wapo busy na maandamano ya Mwabukusi na Mdude CHADEMA, labda watarudi kwa beach boy huko mbelenoi.Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?