Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.
Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.
Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.
Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )
Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.