Je, Jeshi la Polisi Tanzania linaruhusiwa kumchunguza Waziri au Naibu Waziri akitenda jinai? Au hadi wapewe ruhusa yakufanya hivyo?

Acha uongo, hakuna polisi wa hivyo tanzania, Gekul atachukuliwa hatua kwa sababu moja tu hili suala limefika kwa rais.
Rais naye kuna amri ngapi amezitoa zikaenda kuathiri raia wasiokuwa na hatia?
 
Kuna mtu aliniambia usilogwe kufanya maamuzi km unahasira tena kua makini sana unaweza ukafanya maamuzi yakaharibu maisha yako kwa dakika tu.Kweli huu ushauri nimeona faida zake sana.Sasa huyu dada km kweli alifanya hayo naona hakujipa mda hasira ikampeleka kufanya unyama ambao utamsumbua na hata heshima alio kua nao itashuka n a maisha yake hayatakaa sawa tena kwa tendo alilofanya kwa siku ama saa moja tu.Pia wapambe wanaokua na ww kwenye upuuzi wakiona kimewaka wanakukimbia pole yake sana dada hasira ni hasara.
unampa pole mama chupa au mtu mwingine ?
 
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo .

Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au afukuzwe kazi

Hali ni tofauti na mazingira ya nchi nyingi zinazoendelea au zilizoendelea. Je, idhini ya kuchunguza wanasiasa wa chama tawala isipotolewa mwananchi anaweza kufungua kesi ya jinai mwenyewe mahakamani?
Unaulizia kwa maana ya sheria kuwaruhusu ama mazoea na tabia za upimbi?
 
Kuna polisi ambao wana independent mind,hawaogopi kutenda haki,ilimradi hawavunji sheria,na wako tayari hata kufukuzwa kazi,Kama tu kutekeleza majukumu yao,waliyoapa kuyatekeleza kwa mujibu wa katiba,itaonekana ni jinai kwa mitizamo ya kisiasa.Aliyekua naibu waziri na wenzake,watahojiwa na ikibidi watafikishwa mahakamani.Subiri.
Labda kwa kuwa ameshatenguliwa !
Vinginevyo mbona walishindwa kumhoji hapo kabla akiwa bado ni naibu Waziri ??!!
 
Kuna polisi ambao wana independent mind,hawaogopi kutenda haki,ilimradi hawavunji sheria,na wako tayari hata kufukuzwa kazi,Kama tu kutekeleza majukumu yao,waliyoapa kuyatekeleza kwa mujibu wa katiba,itaonekana ni jinai kwa mitizamo ya kisiasa.Aliyekua naibu waziri na wenzake,watahojiwa na ikibidi watafikishwa mahakamani.Subiri.
Toa mfano wa polisi mwenye independent mind.
 
Shida polisi wetu ni robot tu. Wanasetiwa Nini Cha kufanya. Katibu wa mbunge anadai yule kijana alienda kuchukua mchanga wa pale hotelini. RPC anadai yule kijana alitaka kumuwekea sumu Mbunge kwenye chakula. Nani anasema ukweli?. Utagundua RPC kanunuliwa na kuambiwa Cha kusema.
Mkuu swala la sumu kalitaja huyo kijana mwenyewe kwenye clip, usichanganye habari.
 
Mkuu Pole sana kama ulikuwa hujui Vyombo vyetu vya Usalama hasa Polisi hufanya kazi kwa Maagizo/Maelekezo.

Hujasikiliza hata hiyo Clip ya yule Mwandishi wa habari kuwa alizuiliwa kuondoka Nyumbani kwa Mhe. Naibu Waziri hadi aruhusiwe na Naibu mwenyewe.

Hao wanakazi ya kupokea maagizo tu
 
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo .

Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au afukuzwe kazi

Hali ni tofauti na mazingira ya nchi nyingi zinazoendelea au zilizoendelea. Je, idhini ya kuchunguza wanasiasa wa chama tawala isipotolewa mwananchi anaweza kufungua kesi ya jinai mwenyewe mahakamani?
"Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo". Haya ni maelezo au ni swali? Andika kwa usahihi.
 
Mkuu Pole sana kama ulikuwa hujui Vyombo vyetu vya Usalama hasa Polisi hufanya kazi kwa Maagizo/Maelekezo.

Hujasikiliza hata hiyo Clip ya yule Mwandishi wa habari kuwa alizuiliwa kuondoka Nyumbani kwa Mhe. Naibu Waziri hadi aruhusiwe na Naibu mwenyewe.

Hao wanakazi ya kupokea maagizo tu
Inasikitisha sana.
 
Kuna polisi ambao wana independent mind,hawaogopi kutenda haki,ilimradi hawavunji sheria,na wako tayari hata kufukuzwa kazi,Kama tu kutekeleza majukumu yao,waliyoapa kuyatekeleza kwa mujibu wa katiba,itaonekana ni jinai kwa mitizamo ya kisiasa.Aliyekua naibu waziri na wenzake,watahojiwa na ikibidi watafikishwa mahakamani.Subiri.
Sasa hao polisi ni sehemu ya watesaji, je wanaweza kujichunguza? Rejea kesi ya kina Zombe. Kweli hili la huyu Waziri na polisi pia wameshiriki kutesa na kunyanyasa.
 
Inasikitisha sana.
Katiba yetu ina mapungufu mengi mno hasa hii loopholes ya Viongozi wa kisiasa kuwa na amri kwa hao Mapolisi.

Unakuta jambo lipo kwenye mamlaka ya upelelezi ama vinginevyo lakini Waziri/RC/DC/PM/VP ama namba moja mwenyewe anatoa agizo linaloingilia utendaji kazi wao.
 
Na ubunge huyu asirudi tena
Wamtoe nje ya mstari kabisa
Awe benchi

Ova
Wamepiga hela sana hawa
Ingekuwa Rais mtu wa bifu
Hapo angechunguzwa mpaka mali zake na kutaifishwa, lazima amepiga hela sana
Ubunge atapigwa chini hataupata tena, tusubiri mda utasema
 
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo .

Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au afukuzwe kazi

Hali ni tofauti na mazingira ya nchi nyingi zinazoendelea au zilizoendelea. Je, idhini ya kuchunguza wanasiasa wa chama tawala isipotolewa mwananchi anaweza kufungua kesi ya jinai mwenyewe mahakamani?
Ni utawala uliojaa sura ya kinafiki kuhusu haki. Double standards, chukua mfano Naibu waziri fulani aliyepata ajali na akatuhumiwa ushiriki wak kifo cha mwanafunzi UDOM alikingiwa kifua na kila mweny mamlaka ya kufanya hivyo.

Huyu wa sasa, it seems she was working independently without the influence of the bigwigs

Lakini la pili kwa sababu alitokea CDM kwa hiyo nyoka ya kijani inahisi akawa double agent ndio maana wamemtosa kabla ya uchunguzi kufanyika. Mamlaka yake ya kinidhamu imkaa kimya badala yake kaondoshwa kwnye nafasi usiku!!!!
 
Back
Top Bottom