Je JF ingeweka sheria hizi hapa ingekuaje?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.

2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.

3. Uweke malengo yako humu JF nini.

4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu wasingetongozana maana humu kuna sura ya wanyama wa aina mbali mbali 🤣🤣🤣🤣🤣 wamejificha kwenye ID FEKI MIE hata niweje hata ningeweka postas za picha yangu kukusema vibaya nakusema na vurugu naanzisha
 
Ingekuwa hivo mbona wengi wangekimbia utakuwa huna uhuru wakujichia kama hivi unakuwa huru unazungumza unachotaka hata kama mshua yuko huku unamkandia😀alafu ukifika home kama vile hamjuani
 
Huu utakuwa ni MTANDAO ama BANK?
😀😀😀
 
Duh hayo masharti ya washirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…