Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #21
JamaniDuh hayo masharti ya washirikina.
Hata mimi nisingekuwepo humu
Hivi,akina baba huwa wana sura mbaya sana?Mbona Facebook tunapeta na sura za baba zetu fresh tu.....Sema Kuna vitu tusingeongea kwa uwazi kabisa......
Hahaha kwamba Kuna utapeli humu humuUtapeli ungepungua
Mwingi wa kutisha π€£Hahaha kwamba Kuna utapeli humu humu
Ingependeza sana.1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.
2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.
3. Uweke malengo yako humu JF nini.
4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu wasingetongozana maana humu kuna sura ya wanyama wa aina mbali mbali π€£π€£π€£π€£π€£ wamejificha kwenye ID FEKI MIE hata niweje hata ningeweka postas za picha yangu kukusema vibaya nakusema na vurugu naanzisha
Nani anafanya utapeli!π€£Utapeli ungepungua
Mimi hapa π€£π€£Nani anafanya utapeli!π€£
Ndiyo si vile wababa hawapaki serum πHivi,akina baba huwa wana sura mbaya sana?
Ndiyo nini hiyo tena?Inafanana na chokaa?Ndiyo si vile wababa hawapaki serum π
ππππππ muulize mpenzi wakoNdiyo nini hiyo tena?Inafanana na chokaa?
Ngoja nimuandalie dodoso lake akiwa ametulia.ππππππ muulize mpenzi wako
We mchawi?1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.
2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.
3. Uweke malengo yako humu JF nini.
4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu wasingetongozana maana humu kuna sura ya wanyama wa aina mbali mbali π€£π€£π€£π€£π€£ wamejificha kwenye ID FEKI MIE hata niweje hata ningeweka postas za picha yangu kukusema vibaya nakusema na vurugu naanzisha
Fanya mpango tuone namna yako ya utapeliπ€£Mimi hapa π€£π€£
Hutaki nikutapeli?
Chagua pa kutapeliwa jukwaani au piem π€£π€£π€£Fanya mpango tuone namna yako ya utapeliπ€£
Wewe uliye mzoefu wa kutapeli nipeleke unapoona natapelika kirahisiπ€£Chagua pa kutapeliwa jukwaani au piem π€£π€£π€£