PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hellow!

Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani,

Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za upendeleo. Kelele za shangwe alizopigiwa Mbunge wa Kisesa ndugu Mpina zinaonyesha kwa kiasi gani anakubalika na wananchi.

Swali LANGU ni kuwa, ikiwa ndugu yetu Mpina jina lake litafanyiwa fitna na kutorudi, umma wa Wananchi uliomshangilia muda wote pale mkutano, utaelewa kirahisi kumtosa Mbunge wao kipenzi?

NB: Uchaguzi ni baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

NO Reforms NO Election 💪 🔥

Abarikiwe sana ndugu Mpina,

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
 
Wanakisesa watakosa maamuzi na kuangalia CCM ikiwapangia mbunge wao awe Nani. Watanzania walishapoteza hayo maamuzi siku nyingi. Chini ya uongozi wa Bi Chura Kiziwi na polisi takribani 2,000 wamerudishwa kazini ili October watusaidie kufanya maamuzi yetu ya halali kikatiba wakiwa na mitutu ya bunduki.
 
Wanakisesa watakosa maamuzi na kuangalia CCM ikiwapangia mbunge wao awe Nani. Watanzania walishapoteza hayo maamuzi siku nyingi chini ya uongozi wa Bi Chura Kiziwi na polisi takribani 2,000 wamerudishwa kazini ili October watusaidie kufanya maamuzi yetu ya halali kikatiba wakiwa na mitutu ya bunduki.
Msisitizo ni kuwa,

Uchaguzi wowote illi ifanyike,ni Hadi zifanyike reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi.

Bila jambo hili kufanyika, uchaguzi UTAYEYUKA.

No Reforms no Election 💪 🔥

I wish niingehamia Kisesa niongoozwe na mbunge aina ya Mpina.
 
Hellow!

Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani,

Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za upendeleo. Kelele za shangwe alizopigiwa Mbunge wa Kisesa ndugu Mpina zinaonyesha kwa kiasi gani anakubalika na wananchi.

Swali LANGU ni kuwa, ikiwa ndugu yetu Mpina jina lake litafanyiwa fitna na kutorudi, umma wa Wananchi uliomshangilia muda wote pale mkutano, utaelewa kirahisi kumtosa Mbunge wao kipenzi?

NB: Uchaguzi ni baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

NO Reforms NO Election 💪 🔥

Abarikiwe sana ndugu Mpina,

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
huyo muungwana hachaguliki gentleman 🐒
 
Wako tayari kumtosa Samia kwa asilimia 100,kuliko kumtosa Mpina
 
Utampigia kura wewe na kupitia chama chako
 
Mpiga mkwara alijikaza kusema mkimleta Mpina sitaleta Maendeleo Jimbo hili
 
Hellow!

Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani,

Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za upendeleo. Kelele za shangwe alizopigiwa Mbunge wa Kisesa ndugu Mpina zinaonyesha kwa kiasi gani anakubalika na wananchi.

Swali LANGU ni kuwa, ikiwa ndugu yetu Mpina jina lake litafanyiwa fitna na kutorudi, umma wa Wananchi uliomshangilia muda wote pale mkutano, utaelewa kirahisi kumtosa Mbunge wao kipenzi?

NB: Uchaguzi ni baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

NO Reforms NO Election 💪 🔥

Abarikiwe sana ndugu Mpina,

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Mpina ni Mzalendo, ana akili mara kumi zaidi ya huyu Mhuni Mama Abdul na Abdul na genge lao lote wanaoitawala Tanganyika na machawa wao.
 
UDP yetu Wasukusi chini ya Mzee Cheyo Ipo
Tutaipasha moto chap chap kama chama Ubwabwa kilivyo ibuliwa

Wasukusi sio washamba kama mnavyo wafikiria

Mpina badili mchezo hewani mbona simple hii
Chama cha kweny flash hiko
 
Back
Top Bottom