Kwa hiyo kumbe ni rahisi kuibuliwaChama cha kweny flash hiko
Kwa hiyo kumbe ni rahisi kuibuliwaChama cha kweny flash hiko
Sijasema rahisKwa hiyo kumbe ni rahisi kuibuliwa
kwa maelezo haya,Mpina ameshakatwa. inasikitisha sanaWanakisesa watakosa maamuzi na kuangalia CCM ikiwapangia mbunge wao awe Nani. Watanzania walishapoteza hayo maamuzi siku nyingi. Chini ya uongozi wa Bi Chura Kiziwi na polisi takribani 2,000 wamerudishwa kazini ili October watusaidie kufanya maamuzi yetu ya halali kikatiba wakiwa na mitutu ya bunduki.
Kura zinapigwa na watu, anaweza kuchaguliwa.Hellow!
Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani,
Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za upendeleo. Kelele za shangwe alizopigiwa Mbunge wa Kisesa ndugu Mpina zinaonyesha kwa kiasi gani anakubalika na wananchi.
Swali LANGU ni kuwa, ikiwa ndugu yetu Mpina jina lake litafanyiwa fitna na kutorudi, umma wa Wananchi uliomshangilia muda wote pale mkutano, utaelewa kirahisi kumtosa Mbunge wao kipenzi?
NB: Uchaguzi ni baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,
NO Reforms NO Election 💪 🔥
Abarikiwe sana ndugu Mpina,
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Hata JPM alisema atamchagua Masele kwenye nafasi 10 za ubunge lakini JPM akafa kabla hajatekeleza ahadi tusubiri Je unabii utajirudia ?Saa10 ni kama Delila wa bibilia,eti nitamchagua kwenye zile nnafsi 10,awe mbunge wa Kitaifa.
Ulifanikiwa kwa JPM,sasa hufanikiwi tena
CHADEMA itashiriki uchaguzi baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,No Reforms no election..
Mtuelewe
Mwl Nyerere: Wananchi wakiyakosa matumaini ndani ya CCM, watayapata nje.Atapitishwa kikaragosi ili tu mpina atoswe. Kisesa wana mbunge mzuri sana ila ndio hivyo atatoswa
Umenena vyema Ssh hatoshi.huyo muungwana hachaguliki gentleman 🐒
Mpina alishangiliwa sana, kuliko hata mtu yule.Wako tayari kumtosa Samia kwa asilimia 100,kuliko kumtosa Mpina
HATOGOMBEASaa10 ni kama Delila wa bibilia,eti nitamchagua kwenye zile nnafsi 10,awe mbunge wa Kitaifa.
Ulifanikiwa kwa JPM,sasa hufanikiwi tena
Nina mpango wa kuhamia Kisesa Ili tu nichague Mpina baada ya kupatikana TUME HURU YA UCHAGUZI.Sisi wanakisesa hatutakubali kumpoteza mzalendo wetu mpina.Huyo kikaragosi aliyetoa kejeli Kwa mpina hatumtaki sisi wanakisesa.kwanza hatujamchagua Bali amekalia kiti Cha marehemu kutokana na katiba mbovu .
Ni pote hakuna maendeleo SI Kisesa pekee.Mpina bungeni atarudi,ila wanakisesa maendeleo watayasikia Kwa majirani.
Hii haina afya Kwa siasa za Tanzania
Sawa.Utampigia kura wewe na kupitia chama chako
CHADEMA ipoUDP yetu Wasukusi chini ya Mzee Cheyo Ipo
Tutaipasha moto chap chap kama chama Ubwabwa kilivyo ibuliwa
Wasukusi sio washamba kama mnavyo wafikiria
Mpina badili mchezo hewani mbona simple hii
Dah basi tuvumilie wakuu 2030 siyo mbaliNi pote hakuna maendeleo SI Kisesa pekee.
Labda Zanzibar ndio kuna tofauti sababu ya upendeleo
Zinabigwa na watu,Kura zinapigwa na watu, anaweza kuchaguliwa.
2025 tu kiongozi Mkuu mpya kbsDah basi tuvumilie wakuu 2030 siyo mbali
Kwa hapa unajidanganya mkuu huu mwaka tumeshachelewa2025 tu kiongozi Mkuu mpya kbs