Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Unahoji?huamini?unashangaa?unadadisi? Unadhihaki? Unachangamsha? Unaburudisha? Ni chemsha bongo?

Mimi huwa naongea na Mungu nikiwa ndotoni ila huwa simuoni japo majibu huwa ananipa
Duh....ana sauti ya aina gani? Upole au ukali.
 
🤣🤣🤣
 
His name is Wonderful Counsellor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace..... Jina la Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu ndio maana ni jina kuu na lenye nguvu kuliko majina yote. Magonjwa na nguvu za giza zinatii kwa jina la Yesu na kusambaratika
 

Unaongea lugha gani unaposema ni Mungu Na mwana wa Mungu? Au wako Mungu wengi?
 
Sababu ipo nguvu kuu ya utendaji ndani ya jina la Yesu. Hayo majina mengine hayana nguvu ya kutenda chochote.
Nguvu yenye mipaka(iliyofungwa ndani ya sauti nasibu Yesu) kuita Kuu ni Kujidanganya.

Nguvu iliyo Kuu haina mipaka, haifungwi na chochote. IPO hata kabla ya watu kubuni hilo jina Yesu, na inafanya kazi katika Ukamilifu wake wakati wore.
 
Nini kirefu cha ACD? Je unaweza kutupa darasa kidogo?
 
Mungu katika maandiko yenu alifanya uharibifu, alifanya Sodoma na Gomora, alifanya kwa Nuhu-Gharika, bado alifanya uharibufu katika nyumba ya Farao, JE ALITUMIA UCHAWI?

Unatofautishaje Uchawi na Nyendo za Mungu za namna hiyo?

Mkuu, ndio maana wakati fulani tunakuwa wakali sana kwenu. Inauma sana kuona ndugu yakovametopea katika Utumwa wa Mzungu. Mbaya zaidi haoni aibu kujivunia hadharani utumwa wake.

Uliporuhusu Mzungu akufundishe juu ya Asili yako, ndio siku ulipojizika hai, na Leo umebaki kuwa kibaraka wa mentality yao.
Inauma sana.
 
Kuna mwingine aliwahipitia hali kama yako lkn hajawahi kanyaga kanisani lbda wakat anabatizwa na kufunga ndoa kwa sasa ni mademu kwenda mbele, huyo utampeleka upande gani
Yesu yupo kwa ajili ya wote, alikuja kutafuta kilichopotea
 
kwenye matukio kama ayo ni wengi tu wanaponyeka ponyek, haimaanishi kama haumuamini yesu bas kwenye ajari haunusuriki,

watu wengi wengine ni atheist lakin wanaponyeka kwenye ajari mbaya kabisa
Hata ukiwa ni mpinga Kristo Yesu anakupenda hivyo hivyo
 
Kama yupo kwanini mpaka wakala wake? Tupe anakopatikana tukajue ukweli. Kila jambo anasingiziwa shetani kwakua haonekani!!
Labda huwa wanamsaidia pale anapoenda kupiga stori na Mungu, maana jamaa huo wanapiga soga na kutembeleana.

Halafu bado mtu atadai yupo kila mahali. Huu ulevi ni mbaya sana.
 
Hata ukiwa ni mpinga Kristo Yesu anakupenda hivyo hivyo
Ajabu mapenzi yake na nguvu alizonazo anashindwa kusaidia Starving children in Somalia, Yemen,etc.
Na bado tutaimba kuwa hakuna jambo asiloliweza.
 
Wapi Mzungu kaunda dini.Kazi ya Mungu haiwezi kuwa uhabifu.
Uchawi ni nguvu hasi za kudhuru, Mungu ni tiba na uponyaji dhidi ya uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…