Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Nguvu yenye mipaka(iliyofungwa ndani ya sauti nasibu Yesu) kuita Kuu ni Kujidanganya.

Nguvu iliyo Kuu haina mipaka, haifungwi na chochote. IPO hata kabla ya watu kubuni hilo jina Yesu, na inafanya kazi katika Ukamilifu wake wakati wore.
Nguvu zipo za aina nyingi tegemeo kulingana na utashi wako.
Lakini kwa ushahidi wa aina zote za nguvu Jesus ndio nguvu kubwa yenye ACDs 100%.
Hakuna watu waliobuni jina la Yesu,hili limetoka kwenye asili kamili,ambalo mwanadamu anapata kinga salama dhidi ya nguvu kinzani tena bure kabisa hata kumi utoi.
 
Lini ili niweke kwenye reminder yangu?
Endelea kuwa hewani.But unaweza ukapata dodoso kidogo,toka kwa mtumishi wa Mungu aliyekuwa mtumishi wa shetani yaani mchawi wa degree ya 33.Kaelezea kidogo kuhusu hii tester ya imani ACDs inavyofanya kazi
 
Simple tu. Wale wore ni viumbe wa Mungu.
1. Mambo mengine yanafanywa na Mungu mwenyewe ili baadaye ajichukulie utukufu. Mfano unaweza ukakuta yule choka mbaya anayelala darajani atakuwa ni mtu wa mfano wa kuigwa ( tajiri, aliyefanikiwa kwenye jambo fulani) kwa ajili ya kazi ya Mungu huko baadaye.

2. Mungu achunguziki wala Mipango yake haieleweki kwa jinsi ya kibinadamu
 
Simple tu. Wale wore ni viumbe wa Mungu.
1. Mambo mengine yanafanywa na Mungu mwenyewe ili baadaye ajichukulie utukufu. Mfano unaweza ukakuta yule choka mbaya anayelala darajani atakuwa ni mtu wa mfano wa kuigwa ( tajiri, aliyefanikiwa kwenye jambo fulani) kwa ajili ya kazi ya Mungu huko baadaye.

2. Mungu achunguziki wala Mipango yake haieleweki kwa jinsi ya kibinadamu
 

Mbona Yesu wako wengi tu toka iumbwe dunia ?
 

Umekuwa msemaji wa Mungu?
 

Sikweli angalia
 

Attachments

  • VID-20220411-WA0008.mp4
    10 MB
Endelea kuwa hewani.But unaweza ukapata dodoso kidogo,toka kwa mtumishi wa Mungu aliyekuwa mtumishi wa shetani yaani mchawi wa degree ya 33.Kaelezea kidogo kuhusu hii tester ya imani ACDs inavyofanya kazi


 
Wapi Mzungu kaunda dini.Kazi ya Mungu haiwezi kuwa uhabifu.
Uchawi ni nguvu hasi za kudhuru, Mungu ni tiba na uponyaji dhidi ya uchawi.
Unatofautishaje Maangamizo ya Uchawi na yale ya Mungu?

Wachawi wanaua watoto wadogo, sawa na Mungu katika maandiko.

Unatofautishaje?
 
Ni nini hicho kilifanya uwepo wa Nguvu nyingi?

Ni wapi Asili ilitoa jina Yesu? Na kwa namna gani?
 
Jina kupita majina yote, jina la Yesu limenipa kazi moja nzuri sana. Pesa, mke, furaha. Maisha mazuri ya uzima wa milele moyoni mwangu.🙏
 
Duh....ana sauti ya aina gani? Upole au ukali.
anakuja katika namna ya pekee kwa maana wewe ndiwe anaona unconsciously hitaji lako kwake unaomba hazungumzi na anajibu kwa namna wewe mwenyewe unataja uwepo wake its like ni automatic kwa wamwaminio na wamtajao kwa vinywa vyao, God is truly amazing, ni exceptional God
 

Wewe kama ni mkristo na nimeona kwa jinsi ulivyoandika unaamini ukristo,lakini nataka nikushauri kitu Mungu anakupenda na naona unahitaji msaada wake.Hii elimu uliyoleta huna hata andiko moja kutoka kwenye biblia kuisupport hata basi tuletee kama imokwenye Quran.Katika ukristo kujadili jambo bila reference au andiko lolote la kwenye biblia linalosupport hichokitu ni sawa na stroy za kijiweni.
Kama unanielewa njoo,PM,Nimekufuatilia naona umeleta video ya mtu aliyekuwa mtumishi wa shetani na sasa anamtumikia Mungu unataka tumsikilize na tujifunze kutoka kwake.Hiki ulichofanya watumishi wengi wanachemka na wanakosea,Yesu alipoondoka alisema sita waacha yatima nitawaletea msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu,yeye ni mfariji,yeye ni mshauri yeye ni mwalimu.
Kwa kifupi chanzo cha elimu au jambo lolote ambalo wakristo wanatakiwa kujifunza linatakiwa litoke kwa Mungu,hii elimu yako haijatoka kwa Mungu na inapingana na maandiko.
Kwanza nakubali watu wanatofautiana nguvu na nguvu inaweza ongezeka,inaweza pungu ana inaweza isha.Wanafunzi wa Yesu waliletewa mtu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa ,wakaomba hakupona.Yesu alipomwombea yule mtu akafunguliwa katika kifungo chake.Wale wanafunzi baadaye wakamuuliza Yesu inakuwaje?Akwaambaia mambo mengine hayawezekani isipokuwa kwa kufunga na kuomba.
Ukisoma Efeso 3:20
"Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu"
Hapo juu panaonyesha ndani yetu kuna nguvu na nguvu hiyo haifanani i.e tunatofautiana sasa wewe kusema eti mwanadamu ana nguvu ACD 1 hizi ndizo elimu za kupotosha watu.
Katika kitabu cha mambo ya Nyakati 1 Nya 16:11 "Mtakeni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote".Unaona hapo maandiko yanaonyesha Mungu ndiye anayetujaza nguvu kwa kadri apendavyo,sasa unaposema wanadamu wana nguvu sawa ni kinyume na maandiko.Assume una watu wawili "A" na mwingine "B".Mtu "A" anabidii sana katika kumtafuta Munguna nguvu zake lakini mtu "B" hana bidii.Iweje hawa watu wawe na nguvu sawa?
Kosa ambalo limekuwa linafanyika katika makanisa ya leo nikuwapa muda waliokuwa watumishi washetani wawafundishe(sikatai mtu anaweza kuwa alikuwa mtumishi wa shetani na akarudi kweli kumtumikia Munghu) lakini hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba hiyo elimu anayowafundisha kanisani imetoka kwa Mungu?Kama haikutokamkwa Mungu na aliipata kwa shetani siyo sahihi kumpa muda awafundishe.Badala yayeye kukaa nyie mmfundishe,yeye anaanza kuwafundisha nyie mambo ya kuzimu ambayo hata hamna uhakika kama anachowaambia ni kweli au si kweli.Tena akiweka na maandiko kidogo ndiyo mnapatikana kweli.Je mmesahau ya kuwa shetani ni baba wa uongo?Je hujui kama shetani kuna muda huwa anasema ukweli kidogo ili akunase?Elimu inayotakiwa kufundishwa kanisani chanzo chake ni lazima iwe Mungu na siyo shetani.Kama Mungu anataka tuyajue yanayofanywa upande wa giza yeye ana uwezo wa kuyaweka wazi.Yesu alipokuwa anatoa pepo alikuwa haruhusu mapepo yaanze kuto maelezo,leo hii eti mtumishi anamsikilza pepo anavyotoa amelezo "tulimtesa sana huyu,bibi yake anamhitaji awe cmhawi,pepo anaongea nawe unasadiki,lakini hapo ujue kuna ukweli umechanganyikana na uongo....".Enzi za Yesu alikuwa anasema "Pepo ninakuamulu ukae kimya na umtoke mtu huyu,leo mtumishi anapiga story na mapepo,"ehe Mlivyomchukua mlimfanya nini...?? .Nawahurumia sana wale manojiita Wakristo na hamna muda wa kusoma biblia na kuyafuatilia haya mambo.Someni biblia ili muijue kweliotherwise utaingia kwenye mitego ya adui.
Kwa hiyo hii elimu yakoya kipimo cha nguvu ni batili,ila kama utaweza kuniletea maandiko kutoka kwenye biblia yanayoisupport yamkini naweza kukubaliana na wewe kama utakuwepo ushahidi.Nawakaribisha Private (pm) kwa ushauri na maswali.
Regards
Aqua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…