Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #201
Lini ili niweke kwenye reminder yangu?Hii ni shule kidogo inataka mda.Subira takuja elezea kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini ili niweke kwenye reminder yangu?Hii ni shule kidogo inataka mda.Subira takuja elezea kidogo.
Nguvu zipo za aina nyingi tegemeo kulingana na utashi wako.Nguvu yenye mipaka(iliyofungwa ndani ya sauti nasibu Yesu) kuita Kuu ni Kujidanganya.
Nguvu iliyo Kuu haina mipaka, haifungwi na chochote. IPO hata kabla ya watu kubuni hilo jina Yesu, na inafanya kazi katika Ukamilifu wake wakati wore.
Endelea kuwa hewani.But unaweza ukapata dodoso kidogo,toka kwa mtumishi wa Mungu aliyekuwa mtumishi wa shetani yaani mchawi wa degree ya 33.Kaelezea kidogo kuhusu hii tester ya imani ACDs inavyofanya kaziLini ili niweke kwenye reminder yangu?
Endelea kuwa hewani.But unaweza ukapata dodoso kidogo,toka kwa mtumishi wa Mungu aliyekuwa mtumishi wa shetani yaani mchawi wa degree ya 33.Kaelezea kidogo kuhusu hii tester ya imani ACDs inavyofanya kazi
Simple tu. Wale wore ni viumbe wa Mungu.Labda mimi mmoja hao, nijibu sawali
hili.
1. Yesu anaokoa, Mbona omba omba wengi ni walokole ambao ni wakristo, utakuta wanatembea na maspika wanajifanya kuhubili, mwisho wa siku wanaomba hela.
2. Ukienda kwa madada poa wakristo wapo tena ndiyo wengi.
Ukienda pale Ubungo Darajani watoto wengi wanaolala pale ni wa jamii ya kikikristo, hakuana mkristo anaeguswa kwenda kuwachukua na kuwasaidia.
Kuna wale ombaomba, amba wengi wako katikati ya jiji la Dar, ambao hudhaniwa ni wenyeji wa mkoa wa Dodoma, wengi ni wakristo yesu mbona hajawaokoa, wala alieokoka kwenda kuokoa, kama akina Lusekelo Gwajima, Mwamposa, Mwingira na wengine wenye uchumi mzuri tu. Au yesu anaokoa baada mtu kufa.
Kila maisha anayoyspitia asiekua mkristo, na mkristo anayapitia dhiki, maradhi kila shida, sasa huyo yesu anawasaidiaje, Ili asiekua mkristo aone utofauti.

Nguvu zipo za aina nyingi tegemeo kulingana na utashi wako.
Lakini kwa ushahidi wa aina zote za nguvu Jesus ndio nguvu kubwa yenye ACDs 100%.
Hakuna watu waliobuni jina la Yesu,hili limetoka kwenye asili kamili,ambalo mwanadamu anapata kinga salama dhidi ya nguvu kinzani tena bure kabisa hata kumi utoi.
Simple tu. Wale wore ni viumbe wa Mungu.
1. Mambo mengine yanafanywa na Mungu mwenyewe ili baadaye ajichukulie utukufu. Mfano unaweza ukakuta yule choka mbaya anayelala darajani atakuwa ni mtu wa mfano wa kuigwa ( tajiri, aliyefanikiwa kwenye jambo fulani) kwa ajili ya kazi ya Mungu huko baadaye.
2. Mungu achunguziki wala Mipango yake haieleweki kwa jinsi ya kibinadamu
Nguvu zipo za aina nyingi tegemeo kulingana na utashi wako.
Lakini kwa ushahidi wa aina zote za nguvu Jesus ndio nguvu kubwa yenye ACDs 100%.
Hakuna watu waliobuni jina la Yesu,hili limetoka kwenye asili kamili,ambalo mwanadamu anapata kinga salama dhidi ya nguvu kinzani tena bure kabisa hata kumi utoi.
Ni Yesu tu
Mwenye nguvu ni Mungu.
Endelea kuwa hewani.But unaweza ukapata dodoso kidogo,toka kwa mtumishi wa Mungu aliyekuwa mtumishi wa shetani yaani mchawi wa degree ya 33.Kaelezea kidogo kuhusu hii tester ya imani ACDs inavyofanya kazi
Unatofautishaje Maangamizo ya Uchawi na yale ya Mungu?Wapi Mzungu kaunda dini.Kazi ya Mungu haiwezi kuwa uhabifu.
Uchawi ni nguvu hasi za kudhuru, Mungu ni tiba na uponyaji dhidi ya uchawi.
Ni nini hicho kilifanya uwepo wa Nguvu nyingi?Nguvu zipo za aina nyingi tegemeo kulingana na utashi wako.
Lakini kwa ushahidi wa aina zote za nguvu Jesus ndio nguvu kubwa yenye ACDs 100%.
Hakuna watu waliobuni jina la Yesu,hili limetoka kwenye asili kamili,ambalo mwanadamu anapata kinga salama dhidi ya nguvu kinzani tena bure kabisa hata kumi utoi.
anakuja katika namna ya pekee kwa maana wewe ndiwe anaona unconsciously hitaji lako kwake unaomba hazungumzi na anajibu kwa namna wewe mwenyewe unataja uwepo wake its like ni automatic kwa wamwaminio na wamtajao kwa vinywa vyao, God is truly amazing, ni exceptional GodDuh....ana sauti ya aina gani? Upole au ukali.
Nguvu zipo za aina nyingi tegemeo kulingana na utashi wako.
Lakini kwa ushahidi wa aina zote za nguvu Jesus ndio nguvu kubwa yenye ACDs 100%.
Hakuna watu waliobuni jina la Yesu,hili limetoka kwenye asili kamili,ambalo mwanadamu anapata kinga salama dhidi ya nguvu kinzani tena bure kabisa hata kumi utoi.
Wewe kama ni mkristo na nimeona kwa jinsi ulivyoandika unaamini ukristo,lakini nataka nikushauri kitu Mungu anakupenda na naona unahitaji msaada wake.Hii elimu uliyoleta huna hata andiko moja kutoka kwenye biblia kuisupport hata basi tuletee kama imokwenye Quran.Katika ukristo kujadili jambo bila reference au andiko lolote la kwenye biblia linalosupport hichokitu ni sawa na stroy za kijiweni.Hayo majina mengine hayana nguvu ACDs zake zipo chini.ACDs ni kipimo kipimacho nguvu ya imani.
*Jesus anayo ACDs 100%
*Shetani anayo ACDs 40%
*Majemedari sita wa shetani wanayo 3 hawa ni wasaidizi wakuu wa shetani.
*Jini anayo 2.5
*Mwanadamu yeyeto anayo ACDs 1
*Wanyama wanayo 0.5.
Mwanadamu ACDs yake inapanda kadri ya upande anaoutumikia. S
So attack yeyeto ya kiroho itategemea na nguvu uliyojiunganisha nayo.
Kwann tuna believe in Jesus sababu anayo ACDs 100 so ukijiconnect nae Hakuna cha jini, shetani, mzimu, mchawi sijui takataka gani itakuweza sababu unapokea nguvu direct toka kwa Jesus Power.