a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Na hujawahi kukutana na Hekaya hizo za MTU kulala na bintize, na Mungu kuamuru pigo la vifo kwa watoto?Sio kuisoma tu naijua
Unatania labda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hujawahi kukutana na Hekaya hizo za MTU kulala na bintize, na Mungu kuamuru pigo la vifo kwa watoto?Sio kuisoma tu naijua
Hio biblia original ipo wapi Ili tuilinganishe na hizi.
Ukitaka kujua biblia jielimishe nini maana ya neno Biblia,waandishi wa injili ni nani.
Unapaswa usome historian ya biblia imetoka wapi.Hii ni shule.
Yesu si mwandishi, mitume wake ndio walioandika Yale aliyosema na kufanya Yesu pili sio KILA kitu kuhusu Yesu kimeandikwa. Kumeandikwa kuzaliwa kwake na alipoanza injili yaani akiwa na miaka 30 hadi 33.
Maisha yake ya ujana, maisha ya mitume kabla awajawa Wakristo hayajaandikwa, sababu si muhimu.
Hakuna biblia tofauti sema kuna matoleo tofauti lakini maudhui ni Yale Yale.Hizo biblia tofauti tofauti ni zipi.Biblia original hakuna Na ndio maana tukaletewa biblia tofauti nyingi Tu,
Na wale wanafunzi wa Yesu Hakuna uthibitisho wowote kuwa waliandika injili.
Pia katika hao wanaoambiwa waliandika biblia Luka hakuwa mwanafunzi wa Yesu Na alichoandika ni barua aliyo.pelekea rafiki yake Theophilus.
Kwa hivyo vitu Kama hivi vinakuwa taabu kuthibitika mbele ya wanasheria wa dini yeyote Na mahakama yoyote yenye kufuata haki Na ukweli
Mwenyezi Mungu alimkirimia mwanae wa pekee jina lipitalo kila jina.Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
Hakuna biblia tofauti sema kuna matoleo tofauti lakini maudhui ni Yale Yale.Hizo biblia tofauti tofauti ni zipi.
Kama hakuandika so injili ya Luka iliandikwa na nani?
Mungu yupi aliyemkirimia Na tunaambiwa Yesu ndiye mungu? Au kajizaa mwenyewe?Mwenyezi Mungu alimkirimia mwanae wa pekee jina lipitalo kila jina.
Kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo yeyote anayeamini na kuliishi neno lake LAZIMA LAZIMA LAZIMA ataokolewa kutoka kwenye tanuru la moto.
Hakuna biblia tofauti sema kuna matoleo tofauti lakini maudhui ni Yale Yale.Hizo biblia tofauti tofauti ni zipi.
Kama hakuandika so injili ya Luka iliandikwa na nani?
Hakuna biblia tofauti sema kuna matoleo tofauti lakini maudhui ni Yale Yale.Hizo biblia tofauti tofauti ni zipi.
Kama hakuandika so injili ya Luka iliandikwa na nani?
AmenMwenyezi Mungu alimkirimia mwanae wa pekee jina lipitalo kila jina.
Kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo yeyote anayeamini na kuliishi neno lake LAZIMA LAZIMA LAZIMA ataokolewa kutoka kwenye tanuru la moto.
Unaambiwa na nani ?Mungu yupi aliyemkirimia Na tunaambiwa Yesu ndiye mungu? Au kajizaa mwenyewe?
Aliyekwambia Biblia Original hakuna ni nani?Biblia original hakuna Na ndio maana tukaletewa biblia tofauti nyingi Tu,
Na wale wanafunzi wa Yesu Hakuna uthibitisho wowote kuwa waliandika injili.
Pia katika hao wanaoambiwa waliandika biblia Luka hakuwa mwanafunzi wa Yesu Na alichoandika ni barua aliyo.pelekea rafiki yake Theophilus.
Kwa hivyo vitu Kama hivi vinakuwa taabu kuthibitika mbele ya wanasheria wa dini yeyote Na mahakama yoyote yenye kufuata haki Na ukweli
Unaambiwa na nani ?
Usipende sana kuambiwa ambiwa.
BIBLIA ZIPO, SOMA UPATE KUIJUA KWELI KUTOKA CHANZO HALISI.
Achana na masimulizi ya vijiwe vya kahawa.
I cant disagree moreHakuna biblia yoyote iliyosema Yesu kazaliwa Na Mungu wala Hakuna Mahali Yesu alisema Mimi ni Mungu au alisema Mimi ni mwana wa mungu
Aliyekwambia Biblia Original hakuna ni nani?
Au kwa kuwa na versions mbalimbali basi unahisi hakuna genuine version.
FYI hizo versions pamoja na tofauti zilizopo ndani yake bado meseji yake inabaki vilevile.
Kama unayo lete ushahidi wapi?I cant disagree more
Kama Biblia yako haina hayo maelezo, sina la kukusaidia.Kama unayo lete ushahidi wapi?
Kama Biblia yako haina hayo maelezo, sina la kukusaidia.
We live at the age information so when you choose ignorance , it becomes none of my business
Kumbe wewe ni muumini wa mtu.Mimi sio muumini wake.
Ndiyo biblia yako unayotumia hiyo ?Wewe yako ni ipi Tuisome
Lete reference kama unayo
Wapi nimesema mimi ni muumini wa mtu.Kumbe wewe ni muumini wa mtu.