Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Biblia original hakuna Na ndio maana tukaletewa biblia tofauti nyingi Tu,

Na wale wanafunzi wa Yesu Hakuna uthibitisho wowote kuwa waliandika injili.
Pia katika hao wanaoambiwa waliandika biblia Luka hakuwa mwanafunzi wa Yesu Na alichoandika ni barua aliyo.pelekea rafiki yake Theophilus.
Kwa hivyo vitu Kama hivi vinakuwa taabu kuthibitika mbele ya wanasheria wa dini yeyote Na mahakama yoyote yenye kufuata haki Na ukweli
 
Hakuna biblia tofauti sema kuna matoleo tofauti lakini maudhui ni Yale Yale.Hizo biblia tofauti tofauti ni zipi.
Kama hakuandika so injili ya Luka iliandikwa na nani?
 
Mwenyezi Mungu alimkirimia mwanae wa pekee jina lipitalo kila jina.

Kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo yeyote anayeamini na kuliishi neno lake LAZIMA LAZIMA LAZIMA ataokolewa kutoka kwenye tanuru la moto.
 
Kwanini injili huanza Na according to mark, Luke , John nk Na isiwe injili ya John au Lika au nk. ?
 
Mwenyezi Mungu alimkirimia mwanae wa pekee jina lipitalo kila jina.

Kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo yeyote anayeamini na kuliishi neno lake LAZIMA LAZIMA LAZIMA ataokolewa kutoka kwenye tanuru la moto.
Mungu yupi aliyemkirimia Na tunaambiwa Yesu ndiye mungu? Au kajizaa mwenyewe?
 
Hakuna biblia tofauti sema kuna matoleo tofauti lakini maudhui ni Yale Yale.Hizo biblia tofauti tofauti ni zipi.
Kama hakuandika so injili ya Luka iliandikwa na nani?

Mungu yupi aliyemkirimia Na tunaambiwa Yesu ndiye mungu? Au kajizaa mwenyewe?
Unaambiwa na nani ?

Usipende sana kuambiwa ambiwa.

BIBLIA ZIPO, SOMA UPATE KUIJUA KWELI KUTOKA CHANZO HALISI.

Achana na masimulizi ya vijiwe vya kahawa.
 
Aliyekwambia Biblia Original hakuna ni nani?

Au kwa kuwa na versions mbalimbali basi unahisi hakuna genuine version.

FYI hizo versions pamoja na tofauti zilizopo ndani yake bado meseji yake inabaki vilevile.
 
Hakuna biblia yoyote iliyosema Yesu kazaliwa Na Mungu wala Hakuna Mahali Yesu alisema Mimi ni Mungu au alisema Mimi ni mwana wa mungu
 
Aliyekwambia Biblia Original hakuna ni nani?

Au kwa kuwa na versions mbalimbali basi unahisi hakuna genuine version.

FYI hizo versions pamoja na tofauti zilizopo ndani yake bado meseji yake inabaki vilevile.

Haya tuambie biblia ipi ni original NIV, KJV, Q J V , Douay au yoyote katika mamia ya biblia tofauti
 
Kama Biblia yako haina hayo maelezo, sina la kukusaidia.

We live at the age information so when you choose ignorance , it becomes none of my business

Wewe yako ni ipi Tuisome
Lete reference kama unayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…