Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Na hujawahi kukutana na Hekaya hizo za MTU kulala na bintize, na Mungu kuamuru pigo la vifo kwa watoto?

Unatania labda.
Najua herode ndie aliyeua watoto wa chini ya miaka 5 baada ya kupata taarifa kuna mfalme kazaliwa akidhani ni mfalme wa kuchukua mamlaka yake.Pia haikuwa Misri ilikuwa ni Israel enzi hizo Israel ikiwa ni koloni la dola ya Rumi.
Hao mtu na binti zake ufafanuzi kidogo
 
Huwezi sema kuna biblia feki hali huna original.

All versions are not saying the same thing!
This chart is by no means complete.​

Most Christians recognize the New World Translation (NWT - Jehovah's Witness Bible) for the corrupt work it is. What most Christians don't recognize is the same corruption in their own "Christian" bibles!




AV (King James)New InternationalNew American StandardNew World Translation
Hos 11:12…but Judah yet ruleth with God, and is faithful with the saints.Judah is unruly against God, even against the faithful Holy One.Judah is also unruly against God, even against the Holy One who is faithful.Judah is yet roaming with God, and with the Most Holy One he is trustworthy.
Mt 9:13for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance.For I have not come to call the righteous, but sinners.For I did not come to call the righteous, but sinners.For I came to call, not righteous people, but sinners.
Mt 18:11​
For the Son of man is come to save that which was lost.​
OMITTED​
footnote casts doubt​
OMITTED​
Mt 19:17Why callest thou me good? "Why do you ask me about what is good?" "Why are you asking me about what is good?" "Wny do you ask me about what is good?"
Mt 25:13Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh.You do not know the day or the hour.You do not know the day nor the hour.You know neither the day nor the hour,
Mk 10:24…how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God!…how hard it is to enter the kingdom of God!…how hard it is to enter the kingdom of God!…how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God!
Lk 2:33And Joseph and his mother,,,The child's father and mother…His father and mother…its father and mother…
Lk 4:4Man shall not live by bread alone, but by every word of God.Man does not live on bread alone.Man shall not live on bread alone.Man must not live by bread alone.
Lh 4:8​
Get thee behind me, Satan.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Jn 6:47He that believeth on me hath everlasting life.He who believes has everlasting life.He who believes has eternal life.He that believes has everlasting life.
Jn 8:9​
And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out…​
…those who heard began to go away…​
…when they heard it, they began to go out one by one…​
OMITTED​
Jn 9:4I must work the works of him that sent me.We must do the work of him who sent me.We must work the works of Him who sent Me.We must work the works of him that sent me.
Jn 10:30I and my Father are oneI and the Father are one.I and the Father are one.I and the Father are one.
Ac 2:30that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne;…he would place one of his descendants on his throne.…to seat one of his descendants upon his throne.…he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne.
Ac 8:37​
If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God.
OMITTED​
footnote casts doubt (some editions just omit it)​
OMITTED​
Ac 23:9​
Let us not fight against God.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Rom 13:9​
Thou shalt not bear false witness.
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Co 1:14In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins.
1Ti 3:16God was manifest in the flesh.He appeared in a body.He who was revealed in the flesh.He was made manifest in the flesh.
1Ti 6:5Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself."from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted
1Pe 1:22Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirityou have purified yourselves by obeying the truth…Since you have in obedience to the truth purified your souls…Now that you have purified your souls by your obedience to the truth…
1Jo 4:3And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God.But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God.And every spirit that does not confess Jesus is not from God.But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God.
Re 5:14Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever.…the elders fell down and worshipped.…the elders fell down and worshipped.…the elders fell down and worshipped.
Re 20:9Fire came down from God out of heaven…Fire came down from heaven…Fire came down from heaven…Fire came down out of heaven…
Re 21:24And the nations of them which are saved shall walk in the light of it.The nations will walk by its light.And the nations shall walk by its light.And the nations will walk by means of its light.
 
Mkuu, mbona ulidai unaijua vizuri Biblia? Je, hii si Ushahidi kwamba Uko na Imani juu ya Usichokijua?

Kamsome Loti, kasome pia Mapigo 10 ya Farao.
 
Mkuu, mbona ulidai unaijua vizuri Biblia? Je, hii si Ushahidi kwamba Uko na Imani juu ya Usichokijua?

Kamsome Loti, kasome pia Mapigo 10 ya Farao.
Ni maelezo marefu kwa ufafanuzi Ili uweze kuelewa. ebu soma hii ushibe kuhusu Ili la Lutu na bintize baada ya watu wote kuangamia apakuwepo wengine kuendeleza kizazi.
Ndipo kukapatikana taifa la wamoabu na waamoni.Mwanzo 19.24
 
Hakuna biblia yoyote iliyosema Yesu kazaliwa Na Mungu wala Hakuna Mahali Yesu alisema Mimi ni Mungu au alisema Mimi ni mwana wa mungu
Yesu si Mungu nje ya imani ya Ukristo.
 
Hakuna biblia yoyote iliyosema Yesu kazaliwa Na Mungu wala Hakuna Mahali Yesu alisema Mimi ni Mungu au alisema Mimi ni mwana wa mungu

Yohana : 10 : 36 - je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
 
Haya tuambie biblia ipi ni original NIV, KJV, Q J V , Douay au yoyote katika mamia ya biblia tofauti
Hatuingii mbinguni kwa kujua biblia gani ni original au la,shida yenu hoja zenu hazina mashiko.Kama unadhani biblia ingekuwa imekamilika kama unavyowaza au kama hizo aina za biblia zingefanana unadhani hii ingemsaidia nini anayemwamini Mungu wa Isarael?Nikuulize swali nyie dini yenu mnaamini katika Ibrahim ya kuwa ni mtumishi wa Mungu,je kipindi cha agano la kale na hata wakati ukristo unaanza hao watu walikuwa na hii biblia tuliyonayo leo?Je kwa kuwa hapakuwa na biblia kama tuliyonayo leo hakuna kati yao aliyeingia peponi baada ya kufa?
Nikurahisishie ninanachotaka ujifunze hata kama biblia isingeandikwa elimu na mafundisho yake yangeridhishwa kizazi hadi kizazi.Hivyo usitegemee mtu auache ukristu eti tu kwa sababu bibli zimetofautiana na zingine zimeondoa kabisa maneno.Mtafanikiwa kuwapata ambao hawafuatilii dini yao hao mtawapata kwa hoja zenu zisizo na nguvu.Mbona hiyo nikazi rahisi kama ni mfuatiliaji si atafuatilia King james Version ni nini na Amplified version au new international version atajua tofauti yake ni nini?Mbona hujaleta biblia iliyoandikwa kichina au kiarabu ukalinganisha kama lengo lako nikila neno lifanane ndiyo ujue ni kitabu unatakiwa kukiamini?Suala la Biblia kuwa na hizo aina nyingi ni somo ambalo wewe hulijui,jamaa zako wamesummaryze wakakulisha na wewe umeleta kama yalivyo.
Nikupe challenge ili ukue,kuna jamaa mmoja aliwachallenge ndugu zako baada ya kuwa wamekataa kufungua kisa mwezi haujaonekana kwenye eneo wanaloishi,akwaambia mbona mkiangalia mpira huko ulaya timu ikishinda mnafurahi na kuamini ni kweli timu hiyo imeshinda lakini mkionyeshwa mwezi umeonekana kwenye luninga sehemu fulani hamfungui?Wewe hapa unasemaje?
Kama Biblia kutofautiana umeona ni mada kubwa vipi kuhusu tofauti zilizopo kati ya Shia and Sunni ?Je nyie huko hamna tofauti?Mnakubaliana katika kila jambo?
 
Ni kweli hata biblia lazima ziko Za feki Na iko halisi lakini ni biblia ipi ya kweli ndio kishindo kuijua kwani Yesu hakuleta biblia wala hakuandika kitabu chochote . Wala Hakuna aliyeandika chochote kuhusu alichosema yeye wakati alipokuwepo
Kwa hiyo kumbe hujui hata jinsi ya kutambua Biblia iliyo halisi?Ulileta ile list ya Biblia kwa kuchukua kutoka mitandao bila kujua.Nikushauri penda kujifunza kwanza.Biblia ni mkusanyiko wa vitabu,kwa hiyo kuna vitabu vya masomo pia vinaitwa biblia ,ikimanisha kitabu hicho ni mkusanyiko wa vitabu vingi.Sasa ukitaka kujua biblia hii tunayoijadili ilikuwaje kukawa na version nyingi take your time jifunze mbona information zipo.
 
Kila jamabo linalotokea kwa watu wake Mungu huwa anaruhusu,ndiyo sababu tumasema mapenzi yake yatimizwe.Mungu hufanya anavyoona yeye inafaa na siyo unvyoona wewe.Nikuulize swali,kuishi miaka 120 na baada ya kufa unaenda kuzimu na kuishi miaka arobaini na baada ya kufa unaenda peponi kipi ni bora?Aliyekuambia mtumishi wa Mungu hafi kwa magonjwa au ajali ni nani?
Wewe ni msomaji wa biblia ?Kifo hiki cha kwanza hata watakatifu watakufa ila kifo cha pili(mauti ya pili) kwa maana ya kutupwa katika ziwa la moto wao haitawahusu.Hivyo kufa kama Mungu ameruhusu haina shida ,shida ni kufa ukiwa dhambini .
Sasa jielimishe leo ya kwamba hata watumishi wa Mungu wanakufa kwa ajali au kwa njia yeyote na hata kama Mungu hakuwaepusha na yaliyowapata hii haimfanyi asiwe Mungu wao.Kasome habari za vijana waliokataa kuiabudu sanamu,walisema hatakama Mungu wetu hatatuokoa na moto sisi hatutaiabudu sanamu.Ukifikia level hizi unamjua uliyemwamini .
 
Yohana : 10 : 36 - je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Sana waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.

Katika Injili ya Yohana, ambako maneno ya maelezo yamewekwa kwenye mdomo wa Yesu, injili zote nyengine zinaeleza kuwa wenye kutumia maneno kama 'Mtakatifu wa Mungu', au 'Mwana wa Daudi', au 'Mwana wa Mungu' si Yesu bali wengineo.

Jina pekee alilokuwa mwenyewe Yesu daima akilitumia ni 'Mwana wa Adamu'...

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56



Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.
 
Shida yenu huwa mnapeana madesa kwa hiyo tangu wale jamaa wapotee nanyi wameendela kuwapotosha.Kwa mfano kama wewe jina lako ni "Juma" je huwa muda mwingi unajiita wewe au watu wanakuita?Ninaposema hoja zenu huwa hazina mashiko mnakuwa wagumu sana kuelewa.
Haya nisaidie ni kweli kuna sehemu Yesu alisema "Mwana wa Adam imempasa...." swali kwako wewe unayedhani unaujua sana ukristo na biblia kwa ujumla,Inakuwaje Yesu anakuwa mwana wa Adam, na hata ukisima kitabu cha Mathayo sura ywa kwanza kuhusu ukoo wa Yesu maandiko yanaaanza kwa kusema
  • 1 The book of the generation of Jesus Christ, the son of David, the son of Abraham.
  • 2 Abraham begat Isaac; and Isaac begat Jacob; and Jacob begat Judas and his brothers;
  • 3 And Judas begat Phares and Zara of Thamar; and Phares begat Esrom; and Esrom begat Aram;

"Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo,mwana wa Daudi,mwana wa Abraham" Hapa unasemaje inawezekana vipi Yesu awe mwana wa Adam,mwana wa Daudi,mwana wa Abraham?Tukiwaambaia mnatakiwa mtulie mfundishwe hamtaki.Sasa peleka hili swali kwa waliokupa desa mlete majibu,.Umesema Yesu alijiita mwana wa Adam sikatai,kama hicho cha Yesu kujiita mwana wa Adam umekikubali swali langu kwako ni "inakuwaje Yesu anakuwa mwana wa Adam" wakati tunajua alizaliwa na Bikra maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na Yusuf alimlea kwa sababu alikuwa amemchumbia Mariam.Hata katika Quran tusema Yesu ni nabii Issa bin Mariam(ingawa nabii Issa na Jesus are not the same but for the sake of learning let us assume that way),je kwenye Quran Issa bin Mariam ni mwana wa Adam?Nyie huwa mnatabia ya kussuport kitu hata kama hamkielewi ilimradi kuna kiadvantage mnaweza mkakitumia kupata wasiojua.
Nasubilia majibu yako usiwe na haraka unaweza kuwaconsult wananzuoni kama huna majibu au yatafute usiwe mwepesi kujibu.
Nilivyosema shida ya mitandaoni watu wanauliza maswali advanced wakati wako beginner level hamkunielewa,taratibu tutaelewana.
 
soma vizuri bila jaziba


Hili neno Biblia ni neno la Kigiriki, na maana yake ni "vitabu".

Basi Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi ambavyo ndio vinafanya msingi wa imani ya Kikristo. Inakubaliwa kuwa vitabu hivi vimeandikwa na watu wengi mbali mbali, wajuulikanao na wasiojuulikana.

Lakini hao waandishi wanaaminiwa kuwa walipata ufunuo kutokana na Mwenyezi Mungu, na wameandika walivyoandika chini ya uangalizi na uwongozi wa Mwenyezi Mungu; kwa hivyo Biblia inaambiwa kuwa ni Neno la Mungu. Biblia ya Wakatoliki, lakini, kidogo inakhitalifiana na ya Waprotestani. Ya Wakatoliki ina vitabu 73, na ya Waprotestani ina vitabu 66.

Kwa jumla Biblia imegawika sehemu mbili kubwa, Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale ni vitabu vyote vilivyoandikwa kabla ya kutokea Yesu Kristo. Vitabu hivi vinaeleza tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, na Adamu na Hawa, historia (taarikh) ya wanaadamu na khasa ya Wana wa Israili, sharia alizopewa Musa na Mwenyezi Mungu, vita vya Mayahudi na jirani zao, mafunzo ya manabii kadhaa wa kadhaa katika Bani Israili yaliyotokana na Mwenyezi Mungu.

Isipokuwa kwa baadhi ya vitabu ambavyo hawavikubali hili liitwalo Agano la Kale, kwa jumla, ndio liliokuwa Biblia na mpaka hivi sasa ndio Biblia ya Mayahudi. Mayahudi hawaikubali kabisa sehemu ya pili iitwayo Agano Jipya inayokubaliwa na Wakristo.

Agano Jipya ni ile sehemu ya Biblia iliyoandikwa baada ya Yesu Kristo. Sehemu hiyo inakusanya Injili nne. Hizi ziitwazo Injili ziliomo katika Biblia ni vitabu vinavyosimulia maisha ya Yesu Kristo na mafunzo yake.

Katika Agano Jipya kipo kitabu kinachoitwa Matendo ya Mitume, kinachoeleza khabari za wanafunzi wake Yesu aliowatuma kwenda tangaza dini. Pia kipo kitabu kinacho itwa "Ufunuo" chenye kueleza mambo ya ajabu ajabu ambayo yasimuliwa kuwa Yohana alifunuliwa akayaona.

Hali kadhaalika zimo barua kadhaa wa kadhaa, nyingi zao ni za Paulo, walizopelekewa watu fulani fulani kuwafunza mambo ya dini. Hizi barua za Paulo, Myahudi aliyetanasari, zinategemewa sana na Wakristo, na ndio msingi wa imani na itikadi zao, hata wengi wapo wanaosema kuwa huu Ukristo tuuonao sasa kwa hakika uliasisiwa na Paulo.

Vitabu viliomo katika Agano la Kale kama vilivyo hivi sasa labda viliandikwa baada ya kurejea Mayahudi kutoka utumwani Babilionia, yaani baada ya mwaka 536 kabla ya Kristo.

Na vitabu vya Agano Jipya vilikusanywa na kukubaliwa na wakuu wa Kanisa katika karne ya nne baada ya Kristo (kiasi 367 A.D.)

Injili nne ziliomo katika Agano Jipya, yaani ya Mathayo, ya Marko, ya Luka na ya Yohana, ndizo zilizoteuliwa na kukubaliwa na wakuu wa Kanisa kutokana na Injili nyingi sana ambazo zimekataliwa.

Neno "Injili" ni neno la Kigiriki, na maana yake ni "Khabari Njema", kwa kuwa Yesu alikuwa akisema kuwa analeta Khabari Njema, yaani Bishara. Vitabu ambavyo vingeweza kuwa ni sehemu ya Biblia, na kwa hakika vikawa vinakubaliwa kwanza na pengine mpaka sasa na baadhi ya madhehebu za Kikristo, vinaitwa "Apokrifa", yaani "vilivyofichwa".
 

Anayesema hayo maneno kwenye hizo sentensi ulizozinukuu ni nani ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…