Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Kama jina la Yesu halikumsaidia yeye mwenyewe mwenye jina hilo kwenye maombi yake ya kumuomba babaake alioko mbinguni kumuepusha na kikombe cha umauti kilichokuwa kinamkabili wakati anaenda kusulubiwa, matokeo yake akasulubiwa na kufa msalabani, iweje jina lake hilo hilo liweze kukufanyia muujiza wewe mmatumbi wa TZ? 😂 😂 😂
 
Yohana : 8 : 54 - Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

Vipi hiyo si iko wazi tuu au muandishi kafanya yake

82% of the words of Jesus are not his:

"The Five Gospels," is a 550 page book containing translations of the Gospels of Matthew, Mark, Luke, and John. It was the result of a six year study by 24 Christian scholars from a number of Western universities.

They decided to produce a translation of the Gospels which would be uncolored by the translator's personal faith. It was decided that this translation was to give the reader an honest picture of what Jesus truly said.

They scanned the text for the words of Jesus, and collect an index of over 1,500 such sayings. They then tested the validity of each of these sayings, one at a time, to see whether Jesus truly said each one.

They then produced a fresh translation, color-coded to show authentic Jesuit sayings and those of an unreliable nature. Their conclusion (page 5) was:

"Eighty-two percent of the words ascribed to Jesus in the gospels were not actually spoken by him."

They go on to reveal that:

"biblical scholars and theologians alike have learned to distinguish the Jesus of history from the Christ of faith. It has been a painful lesson for both the church and scholarship. The distinction between the two figures is the difference between a historical person who lived in a particular time and place...and a figure who has been assigned a mythical role, in which he descends from heaven to rescue humankind and, of course, eventually returns there."

Well then, if 82% of the "words of Jesus" found in the Bible were apparently never spoken by him then where did they come from? Some of the sources demonstrated by the authors are:

"The concept of plagiarism was unknown in the ancient world. Authors freely copied from predecessors without acknowledgment. Sages became the repository of free-floating proverbs and witticisms. For the first Christians, Jesus was a legendary sage: it was proper to attribute the world's wisdom to him. The proverb in Mark 2:17, for example, is attested in secular sources (Plutarch and Diogenes for example)...in the parallel to the Markan passage, Matthew adds a sentence taken from the prophet Hosea (Matt 9:13)."

Also:

"Hard sayings are frequently softened in the process of transmission to adapt them to the conditions of daily living...Variations in difficult saying often betray the struggle of the early Christian community to interpret or adapt sayings to its own situations... Matthew's version of the aphorism "The last will be first and the first last"(Matt 20:16) is softened in Mark 10:31 to "MANY of the first will be last, and of the last MANY will be first"."

And probably most revealing:

"Christian conviction eventually overwhelms Jesus: he is made to confess what Christians had come to believe...The contrast between Christian language or viewpoint and the language or viewpoint of Jesus is a very important clue to the real voice of Jesus, the language of Jesus was distinctive, as was his style and perspective."

The above is only a very small sampling of the very large cache of evidence clearly showing the Bible to have been seriously distorted and altered. To this day it is being continuously edited, corrected, and modified. This is not to say that Christians are not good and honest people in search of the truth. Quite the opposite. Among them are some of the most decent and moral people on this earth. The goal of this book is only to show that the Christian faith as it stands today is not the same one preached by Jesus peace be upon him to his followers nineteen hundred years ago. This is exactly what the Qur'an has been asserting for over fourteen hundred years now
 
Umesoma hicho ulichoandika?
Hii sio Mimi nimeandika , nimenukuu tu Maneno ya Allah

Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?....
 
Umesoma hicho ulichoandika?
Muhammad ni maneno yake anasema shetani wake Kawa muislamu

"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
 
Hii sio MimAo nimeandika , nimenukuu tu Maneno ya Allah

Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?....

Hapo hao
mashetani kwa mnavyosomeshwa kanisani ni Nani ?="Mokiti, post: 42264174, member: 41804"]
Muhammad ni maneno yake anasema shetani wake Kawa muislamu

"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
[/QUOTE]

Tuthibitishie Kama kweli hayo maneno alisema au hakusema
 
Acha kuteseka kaka, ni Yesu Pekee ndiye anayeweza kukuokoa , siyo mudy.
BILA KUMUAMINI YESU KWAMBA NI MWANA WA MUNGU MBINGUNI HUTOBOI

Yohana : 14 : 6 - Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Hao mitume wote waliokuwa kabla ya Yesu Na wao walikuwa ni njia pia ya kuwafikisha kwa Mungu
 
Yohana : 8 : 54 - Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

Vipi hiyo si iko wazi tuu au muandishi kafanya yake
Si alishasema mungu wake mungu wenu pia,kisichoeleweja kipi hapo
 
Wahi kwa paroko akakuchomeke govi
 
Si alishasema mungu wake mungu wenu pia,kisichoeleweja kipi hapo

Kisichoeleweka ni wewe ambaye humuamini Yesu kuwa ni Mwana wa Mungu

Yohana : 8 : 54 - Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

Je unamuamini Yesu kuwa ni mwana wa Mungu
 
Tuthibitishie Kama kweli hayo maneno alisema au hakusema
[/QUOTE]
Maandiko ni yenu mmeandika wenyewe Muhammad kasema , sasa Mimi nije nipinge au ? Shetani wa muhammad alikuwa muislamu

"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
 
Kwa hiyo ule msitari wa usinishike hututaki,na ndiyo mpya kuliko huo,maana ni baada ya kufufuka,Dem wake Maria Magdalena anataka kumshika,akamwambia asimshike ili asimtengue udhu,ule huuutaki!?
 
Tuthibitishie Kama kweli hayo maneno alisema au hakusema
Maandiko ni yenu mmeandika wenyewe Muhammad kasema , sasa Mimi nije nipinge au ? Shetani wa muhammad alikuwa muislamu

"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
[/QUOTE]

Ndiyo nikakuambia ulete ushahidi wa usahihi wa hiyo hadithi
 
Usipaniki
Huyu hapa Allah Allah anatuma wenzake

Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?....
Mashetani hapo ni nani kwa mnavyosomeshwa Kanisani kwenu?
 
Huyo anayesema hapo Yoh 8 :54 ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…