Kama lugha ya malkia inapanda njoo hapa tupo liveKazi ya kumuabudu Mungu Jehovah Na mungu Yesu?
Kalbi/Jibril chumbani kwa muhammad alimla kinyelo hapoKuna vitu nataka uelewe kwanza kabla hatujaja kwa Yesu
Tuna visa viwili hapa
1. Jibril Kawa mtu kamili na for sure alikuwa na penis , swali huyu mtu wangemuua wangekuwa wamemuua Jibril au la?
19:17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu
2. Jibril yupo chumbani kwa Muhammad na ana umbo la binadamu ambae alikuwa handsome pale kijiji kwa Muhammad anaitwa kalbi, muhammad anakwambia huyu mlie ni Kuta nae chumbani sio kalbi mnae mjua ni jibril , swali kwa nini jibril atumie umbo la kalbi? Je wangamuua umbo kalbi wangekuwa wamemuua Jibril au la ? Kama la kwa nini? Kama ndio kwa nini?
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Kama lugha ya malkia inapanda njoo hapa tupo live
Mumeamua kuja Na mafundisho ya Yesu wenu au Roho mtakatifu wenu ndivyo anavyowaongoza?Kalbi/ au Roho miltakatifu chumbani kwa muhammad alimla kinyelo hapo
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Ndivyo älivyokuambia Roho mtakatifu wako?allah mwenyewe hajijui ni nani
upo shalo sana mkuu, japo ww unaona umetema madini lkn upo shalo sana mpka uvivu kukuelewesha maana inaonesha kuwa upo empty kabsa.YESU SI MUNGU:
KWA SABABU MUNGU YUPO NDANI NA PAMOJA NA WENGINE PIA
Baadhi ya Wakristo wanadhani kwamba Yesu ni Mungu kwa sababu ya baadhi ya maandiko ya Biblia yanayosema kwamba Yesu yupo pamoja na Mungu, bali Mungu yupo ndani ya Yesu na Yesu yupo ndani ya Mungu.
Maandishi ya aina hii yote hayamaanishi kwamba Yesu ni Mungu bali yanaonesha kwamba Mungu na Yesu ni tofauti tofauti wala siyo kitu kimoja.
Vile vile Biblia haisemi kwamba mtu ambaye anatajwa kuwa ndani ya Mungu au Mungu yumo ndani yake ni mungu.
Kinyume chake Biblia inatutajia watu kadhaa wale ambao wako pamoja na Mungu na Mungu yupo ndani yao na hawa wapo ndani ya Mungu.
Tena hakuna Mchungaji yeyote ambaye anawaita watu hawa miungu.
Wakati watu wengine kwa sifa zile zile hawaitwi miungu, kwa msingi na kwa uzuri gani, Yesu aitwe Mungu? Biblia inasema kwamba:
1. “Wote wawe na umoja, kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; Hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujuwe ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi. (Yohana 17:21-23).
2. Mungu mmoja, naye ni baba wa wote aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. (Waefeso 4:6)
3. Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya baba yangu, nanyi ndani yangu, mimi ndani yenu. (Yohana 14:20).
4. Nabii Suleimani anasema kwamba: Mimi nilikuwepo pamoja na Mungu hata kabla ya kuumbwa ardhi na mbingu, (Mithali 8:22-30).
5. ....Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawambie, ninapaa kwenda kwa baba yangu naye ni baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu. (Yohana 20:17).
6. Kama Wakristo waseme kwamba Yesu ni mungu kwa sababu alizaliwa bila baba. Najibu kwamba aya gani inasema kuwa azaliwaye bila baba ni Mungu? Na malaki ya wadudu wanaozaliwa bila baba watakuwa na uhusiano gani na Bwana Yesu?
Katika Biblia mfano mzuri zaidi kuliko Yesu unapatikana kwamba: Melkizedeki mfalme wa Salem hana wazazi, hana mwanzo na mwisho, (Waebrania 7:3). Sasa kama Yesu anaitwa mungu kwa sababu ya kuzaliwa bila baba, Melkezedeki atakuwa mungu mkuu kwa sababu hana wazazi, hana mwanzo hana mwisho.
Wakristo wanasemaje hapa?
upo shalo sana mkuu, japo ww unaona umetema madini lkn upo shalo sana mpka uvivu kukuelewesha maana inaonesha kuwa upo empty kabsa.
kifupi tu acha kusoma biblia kama hadithi soma ktk roho ndio uje na hoja hapa mezani....
allah ni mbaguzi ndo maana tunamkataa siyo mungu kama YehovaNdivyo älivyokuambia Roho mtakatifu wako?
Sawa [emoji4], ila fahamu kwamba mkristo mwarabu, muislamu mwarabu, myahudi mwarabu wote hawa Mungu wao katika lugha yao ya kiarabu ni Allahallah ni mbaguzi ndo maana tunamkataa siyo mungu kama Yehova
2. Jibril yupo chumbani kwa Muhammad na ana umbo la binadamu ambae alikuwa handsome pale kijiji kwa Muhammad anaitwa kalbi, muhammad anakwambia huyu mlie ni Kuta nae chumbani sio kalbi mnae mjua ni jibril , swali kwa nini jibril atumie umbo la kalbi? Je wangamuua umbo kalbi wangekuwa wamemuua Jibril au la ? Kama la kwa nini? Kama ndio kwa nini?Mumeamua kuja Na mafundisho ya Yesu wenu au Roho mtakatifu wenu ndivyo anavyowaongoza?
Yeyeto anaetaja mungu Allah ni muislamuSawa [emoji4], ila fahamu kwamba mkristo mwarabu, muislamu mwarabu, myahudi mwarabu wote hawa Mungu wao katika lugha yao ya kiarabu ni Allah
Muhammad said: Do not greet the Jews and the Christians before they greet you and when you meet any one of them on the roads force him to go to the narrowest part of it. Sahih Muslim 2167aC-mon guys, we are better than this, we should refrain from using filthy language, unkind and insensitive comment
(a ) Abu Darda reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, "Those who indulge in curses will not be intercessors or witnesses on the Day of Resurrection" (Source: Sahih Muslim 2595, Grade: Authentic according to Muslim)
(b) The apostle Paul says, "Let your speech always be gracious, seasoned with salt, so that you may know how you ought to answer each person" (Colossians 4:6, ESV)
Ukiwa katika roho utaijua kweli.Biblia ipi ya kusomwa katika roho , Queen James, au King James au NIV, au Douay RSV au Satanic Bible au mamia ya biblia tofauti?
FaizaFoxy ni mrembo kiasi cha Mfalme Zumaridi bila 💄 makeupFaizafoxy ana urembo gani??
Ukiwa katika roho utaijua kweli.
Shida unasoma biblia kama hadithi.
Jua kwanza roho ni nini? Katika roho ni hali gani?Nani yupi katika Roho , Mkatoliki, mlokole, Mashahidi wa Jehovah , kanisa la mashoga, kanisa la shetani ?
Jua kwanza roho ni nini? Katika roho ni hali gani?
Kanisa la shetani, kanisa la mashoga hayo uwakilisha ulimwengu wa giza. Mengine hayo ni ulimwengu wa Nuru.