Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

unajaribu kubadilisha topic , wewe endelea kumfuata huyo sheikh , lakini yesu mwenyewe katika biblia anakataa kuwa yeye ni mungu

na ushahidi nimekuwekea hujajibu unakimbilia kwa huyo sheikh wako
Muislamu yeyeto anaepinga Allah kuwa na mguu na mikono huyo sio muislamu jitafakari , labda kama unataka kuanzisha dini Yako ndani ya Uislamu
 
unajaribu kubadilisha topic , wewe endelea kumfuata huyo sheikh , lakini yesu mwenyewe katika biblia anakataa kuwa yeye ni mungu

na ushahidi nimekuwekea hujajibu unakimbilia kwa huyo sheikh wako
Wewe ndie uliepotea hujui kitu kuhusu Uislamu
Mguu wa Allah
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"Sahih al-Bukhari 4848
 
Embu tuambie Allah anasema akitake mke anakula houris au Malaika,
Kwa sasa penis yake anaitumia kufanya nini?
  • Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us.....

Unarusha ngumi hewani? Unakimbiza watu Na hoja Yesu Si Mungu ?
 
Wewe ndie uliepotea hujui kitu kuhusu Uislamu
Mguu wa Allah
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"Sahih al-Bukhari 4848

Shukrani kwa hadithi nzuri , Sasa tupe ushahidi kuonyesha wapi Yesu alisema yeye ni Mungu?
 
Shukrani kwa hadithi nzuri , Sasa tupe ushahidi kuonyesha wapi Yesu alisema yeye ni Mungu?
Nitakujibu ila nataka uelewe nature ya mungu wako ni tofauti na Jehovah

Jibu kama uneshakubali ili sasa nikujibu kuhusu Yesu
 
Nitakujibu ila nataka uelewe nature ya mungu wako ni tofauti na Jehovah

Jibu kama uneshakubali ili sasa nikujibu kuhusu Yesu

Kwani mna abudu waungu wawili Jehovah Na Yesu ?
 
Mungu ni muweza wa yote ata akisema yupo mmoja mara million shida nini?

Wewe nani mpaka umpangie Mungu aweje

Jibu swali

Kwani mnaabudu Waungu wawili Jehovah Na Yesu?
 
Jibu swali

Kwani mnaabudu Waungu wawili Jehovah Na Yesu?
Wewe nani mpaka umpangie Mungu aweje?

Yeye kajifunua kwetu Baba, Mwana na Roho mtakatifu
Yeye ni muweza wa yote anafanya alitakalo
 
Wewe nani mpaka umpangie Mungu aweje?

Yeye kajifunua kwetu Baba, Mwana na Roho mtakatifu
Yeye ni muweza wa yote anafanya alitakalo

Kwa hivyo mnaabudu Mungu Jehovah Na mungu Yesu au vipi?
 
Kwa hivyo mnaabudu Mungu Jehovah Na mungu Yesu au vipi?
Tuna muabudu Mungu mmoja Jehovah , ambae amejifunua kwetu kama Baba , mwana na Roho mtakatifu

Anafanya alitakalo yeye ni muweza wa yote
 
Tuna muabudu Mungu mmoja Jehovah , ambae amejifunua kwetu kama Baba , mwana na Roho mtakatifu

Anafanya alitakalo yeye ni muweza wa yote

Amejifunua kwani yeye ni sufuria iliyofunikwa ?
 
Kazi ya kumuabudu Mungu Jehovah Na mungu Yesu?
Kazi nimemaliza
Ila nikupe ushauri soma dini Yako Kuna mambo mengi hujui , nimekwambia Allah ana body parts umembishia mpaka sheikh wako , nimekuwekea Hadith Allah anamguu ndio unastuka

Kasome kwanza NDio uje ku debate na Mimi
 
Nimeishi kwa zaidi ya miaka 18 nilikuwa siwezi kula nyama nyekundu,na nilikuwa nikila naumwa mpaka nalazwa nikaamua kuacha kabisa,jina la Yesu ambalo ninaliamini kwa asilimia 100 limeniponya,leo hii nakula vyakula vyote ikiwemo maziwa,maharage na baadhi ya matunda kama avocado,ambavyo nilikuwa nikila napata shida sana.Shuhuda ni nyingi hiyo ni moja ya hizo nyingi,just believe,there is power in the name of Jesus...
 
Back
Top Bottom