Muislamu yeyeto anaepinga Allah kuwa na mguu na mikono huyo sio muislamu jitafakari , labda kama unataka kuanzisha dini Yako ndani ya Uislamuunajaribu kubadilisha topic , wewe endelea kumfuata huyo sheikh , lakini yesu mwenyewe katika biblia anakataa kuwa yeye ni mungu
na ushahidi nimekuwekea hujajibu unakimbilia kwa huyo sheikh wako