Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Hoja yako ni ipi ?
Wewe unasema nini ?
 
God is real, and his powers is all around us. Utaamini the day uta experience mwenyewe
 
Yesu hakufanya muujiza wa kugeuza maji kuwa pombe. Aligeuza maji kuwa divai. Divai ni maji ya zabibu ambayo bado hayajachachushwa kutengenza pombe (alcohol). Ni sawa sawa na wewe ukamue maji ya zabibu (juice ya zabibu) halafu uite hayo maji kuwa ni pombe. Kuna tofauti kati ya Mvinyo (wine or grape alcohol) na divai(grape juice).
 
Ameeen!
 
Kirefu cha ACD ni nini? Na umepata wapi hayo?
 

Sawa kama wewe kweli ni mwenye imani ya ukristo wenye uzito wa chembe ya hardali , tugeuzie maji kuwa soda πŸ˜› πŸ˜›
 
Sawa kama wewe kweli ni mwenye imani ya ukristo wenye uzito wa chembe ya hardali , tugeuzie maji kuwa soda πŸ˜› πŸ˜›
Mbona soda bila maji hazijatengenezeka? Hili halihitaji muujiza
 
Mbona soda bila maji hazijatengenezeka? Hili halihitaji muujiza

Wewe utakuwa unamshinda Yesu na ni mtaalamu kiboko ,
Sasa wewe mtaalamu, Soma niliandika kitu gani na umejibu kitu gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…