Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Anne jina langu lingine ila Sio official.
Nilizaliwa kipindi wazazi wanasali uwata.
Yalipendekezwa majina 3 baada ya maombi na hili lilikuwapo.
Likapita moja la kutumia officially.

Saint ,hakuna aliye mkamilifu duniani ila inawezekana kuwa mtakatifu duniani. najitahidi kuutafuta utakatifu ili niwe Bora na nimpendeze Mungu sawa na zaburi 16:3
 
Sawa mkuu uandae tag list
 
nilikua na rafiki yangu wakiume tulikua mabest haswaaa,, sasa watu wakawa wanatuchanganya sana majina yetu, kuna jamaa mmoja tulikua tunasoma nae darasa moja yeye ndo akaamua kutupa majina tofauti na yale tulopewa na wazazi..mimi nikapewa hilo buzitata na mwenzangu akapewa jina la amiti.. kwanini alitupa majina hayo mpaka leo bado sijajua na hayo majina yalikua yanatumika kwa shuleni tu sio nje ya shule.. over
 
Sasa si oa huyo mwanamke tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…