Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu uandae tag listDaah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
Nadhani hata huyu ni mmoja wao kwa id ya Humble African kama sikosei.Sasa wale wa multiple ID's wanajielezeaje kwa mfano...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah!! Wa2 na ndoto zaonapenda uafande tuu
[emoji23][emoji23][emoji23] Shem si ukiri tu kuwa kichwa chako ni ........!Jina Gani Mkuu Maana Umeniacha Njia Panda
Daah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
Kabila langu. Hiyo 90 sijui ilipotokeaga