Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hongera sana!Mimi langu ni jina la course yangu niliyosomea chuo, nimesoma Bcom banking and financial services, huwa napata sms za watu wanahitaji financial assistance wakihisi nahusika na hizo huduma,dooh mwenyewe naunga unga tuu
Mimi sio leo.Lizarazu, Relief Mirzska, Khantwe, Don Clericuzio , Atoto, Sakayo , Heaven Sent, Upepo wa Pesa, BAK natamani nijue tafsiri ya majina yenu
Fuqin ni neno la kichina mkuu lenye maana ya baba, na muqin ni mamaFuqin... Maana yake ni Baba Kwa rugha za wenzetu huko ulaya nimeasahau ni nchi gani.
Lizarazu, Relief Mirzska, Khantwe, Don Clericuzio , Atoto, Sakayo , Heaven Sent, Upepo wa Pesa, BAK natamani nijue tafsiri ya majina yenu
Pamoja sana mkuuPole sana mkuu!
I mean it.
Sasa si oa huyo mwanamke tu??
Umenikumbusha avenger endgame mkuu jina lake halisi anaitwa Robert Downey Jr sjui kama nmelipatia vzrTony Stark ni mtu pekee anayeweza kujitolea uhai wake kwa ajili ya
wengine.
Kingine ni ushabiki ukanifanya nijiite tony Stark.
Umenipiga chenga siku nyingi.Mimi sio leo.
Sikuona jina lako Kwenye ile post.Nahisi kama hii topic ilishapita, sina kumbukumbu kama nilijibu kwa ID hii au zile zingine.
Ngoja nitafute kwanza nisichanganye madesa.
BTW, I hope you are okay.
kumbe, mi nikajua unamiliki kibanda cha MPesa π€£π€£π€£Mimi langu ni jina la course yangu niliyosomea chuo, nimesoma Bcom banking and financial services, huwa napata sms za watu wanahitaji financial assistance wakihisi nahusika na hizo huduma,dooh mwenyewe naunga unga tuu
Jina Gani Mkuu Maana Umeniacha Njia Panda
πππ 90's babyKabila langu. Hiyo 90 sijui ilipotokeaga
Sikuona jina lako Kwenye ile post.
Mimi mzima wa afya
Mimi napita tu..atakae itaji kunifata sawa tu
ππππππππβUmenipiga chenga siku nyingi.
Leo nimepata chance hii ya kuuliza[emoji4]
Hata siijui hiyo wine.Jina lako nilijua limetokana na ile wine!
Daah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
Sorry mi mMexico kimombo kinanitia ukakasi mpk nitumie dikshenare