Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sawa mpenzi...Mafufuku kunisahihisha mi lugha za kigeni..sawa?
Na mimi naitwa brather... nimezaliwa peke yangu...
Naona huu ni mpango wa maulana kutukutanisha hapa. Labda uwe mbishi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mpenzi...Mafufuku kunisahihisha mi lugha za kigeni..sawa?
Hata siijui hiyo wine.
Limetoka kanisani Tena baada ya kuomba Sana yakaja majina matatu..na hili likiwemo.
Hiyo Mimi siijui.Basi ntakuwa nilijibu kwa kutumia ID nyingine.
Huyo ndo yuleyule anayetaka nichomwe mishikaki kwa petroli na betri ya kuchomoa?? Hantafika mbali. Ngoja nikutafutie Don mwingineMiss you more my dear babu
Mie nafanya tabia mbaya na yule yule uliyenikabidhi Don Clericuzio
Kama Ina kilevi sitaweza kutumia.Ntakuletea nipe address tu au tunaweza anza na namba ya simu.
Huyo ndo yuleyule anayetaka nichomwe mishikaki kwa petroli na betri ya kuchomoa?? Hantafika mbali. Ngoja nikutafutie Don mwingine
Mpaka anitake radhi. Na iambatane na K Vant chupa kadhaa.Msamehe 😂😂
Hebu aje atueleze ilikuwaje .njoo miminimkulimaakachekasanamkuu huyu mtu ndo sababu haswa ya mimi kuwaza huu uzi.. hili jina kila mara hua nsjiuliza why.. yeye ni mkulima na akachekwa sana
Huyo ndo yuleyule anayetaka nichomwe mishikaki kwa petroli na betri ya kuchomoa?? Hantafika mbali. Ngoja nikutafutie Don mwingine
Mpaka anitake radhi. Na iambatane na K Vant chupa kadhaa.
...and why did yo change from the other oneNilihitaji tu jina lolote zuri lenye herufi nane, konsonanti nne na irabu nne ndio likaja hili.
Hiyo Mimi siijui.
Nahitaji kuijua hii
Aisee we jamaa...tupeane madini. Mzee mzima nisije kutongoza mara ya pili nikaumbuka...and why did yo change from the other one
....btw hii ya sasa iko poa zaidi
Sasa kwanini unizushie kifo cha wizi?Babu nisamehe babu, huyo mtoto ndo betri yangu, akiondoka nalipuka babu.
Ifike haraka kabla sijabadili mawazoBabu K-Vant kubwa mwisho wa wiki. Nisamehe usichomoe betri.