Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Nahisi kama hii topic ilishapita, sina kumbukumbu kama nilijibu kwa ID hii au zile zingine.

Ngoja nitafute kwanza nisichanganye madesa.

BTW, I hope you are okay.
Kuna uzi Kama huu ulishawahi letwa hapa jukwaani ..na katika wote waliotoa maana ya majina yao la kwako ndio nimekariri Hadi sasa
 
Kuna uzi Kama huu ulishawahi letwa hapa jukwaani ..na katika wote waliotoa maana ya majina yao la kwako ndio nimekariri Hadi sasa

Yes, nakumbuka kitu hicho. Humu thread zinajirudia, wakati mwingine ni kwa faida ya wageni pia. Sema kipindi hiki nakaribia ku-retire JF.
 
Back
Top Bottom