Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

drone = nyuki dume = mb oo 1
drake = bata dume = mb oo 1
dronedrake = nna MB OO 2
 
Natamani kujua maana ya I'd yako mate
Haina maana yoyote mate..jina tu la msanii wa kifilipino (ynamorata) siku najiunga nilikumbuka tu jina lake nikaamua nilitumie..hiyo namba nilivyokua najiunga niliambiwa tayari Kuna mtu anatumia hilo jina humu ndio nikaamua kuweka namba mbele

Ila yna4 namba ilikua na maana ya watoto wanne[emoji1751]
 
Una watoto wanne au mmezaliwa wanne?
 
Back
Top Bottom