Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

'Ngareroo'natokea Ngarenaro A-Town Arusha,,Ngareroo ni swaggz tu ya Jina Ngarenaro,pia napenda sana kuongea Slangs ya Chuga ambayo tunaiitaga 'Ngareroo slangs'...Ni ivo tu Laigwanani.
Chalii nimependa iyo buti hapo kwa avatar
 
Kwahiyo tukikuita papuchi tutakuwa hatujakutusi?
 
hapo umetudanganya. Mbulu hakuna kijiji kinaitwa Leboro. na Pia hakuna kata inaitwa Mama Isara.
 
Nyuzi kama hizi zilisha jadiliwa kitambo sana na kila kwaka lazima zikuje

Ila sio mbaya Uzi Tayar....
 
Chalii nimependa iyo buti hapo kwa avatar
Hee hii Ndula inaitwa kichwa cha Ng'ombe nililetewaga na Mama toka Dubenga(Dubai)Ilinunuliwa kama laki3 za Bongo ivi,hii waga naivalia na mnyonyo kama unavouona apa fas ya Avatar,alaf nakupigia na Shati iyo inaitwa Dawg dawg inakua yente
 
Me nimejiita hili jina kutokana na series moja ya kikorea niliyowahi kuiona inaitwa innocent defendent sijawahi kuiona series Kali duniani Kama hii yenye ubunifu mkubwa, yenye utamiaji wa akili pamoja na ngumi alafu pia ni unpredictable.

Ni Innocent defendant, wewe umeandika Dependant
 
Kama umeangalia Lacasa de Papel... Kuna nyimbo anapenda kuuimba Berlin na Professor....

Bella ciao maana yake ni kwaheri mrembo, original ya huu wimbo ni wimbo wa mapinduzi katika nchi ya ITALIA
Huo wimbo hata mimi naupenda oh bella ciao bella ciaoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…