Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Tumezaliwa wanne..namimi nataka watoto wanneUna watoto wanne au mmezaliwa wanne?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumezaliwa wanne..namimi nataka watoto wanneUna watoto wanne au mmezaliwa wanne?
Ndio mate bila kupepesa macho[emoji2]Unataka watoto wanne?
Uliyokuwa unaitumia zamaniIpi?
Chalii nimependa iyo buti hapo kwa avatar'Ngareroo'natokea Ngarenaro A-Town Arusha,,Ngareroo ni swaggz tu ya Jina Ngarenaro,pia napenda sana kuongea Slangs ya Chuga ambayo tunaiitaga 'Ngareroo slangs'...Ni ivo tu Laigwanani.
Kwahiyo tukikuita papuchi tutakuwa hatujakutusi?Mimi tulikuwa na bekitatu flan hom wakati mdogo,sasa yule bekitatu akawa anasema atanipa dokolombwike, Mimi nikawa nampotezea kwanza nikawa naona jina la ajabu kinoma,akajaga kuondoka,baadae nikafwatilia alikuwa anamaanisha nini kumbe bwana dokolombwike ni PAPUCHI,daah huwa najilaum hadi Leo kukosa papuchi
Itakuwa mwaka wako wa kuzaliwaKabila langu. Hiyo 90 sijui ilipotokeaga
Uliyokuwa unaitumia zamani
Ile iko poa zaidi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio kongwe kuliko ile. Izoee tu mama.
Ile ambayo nilikuwa nakutongoza afu ukanipiga kibutiNimebadilisha Mara nyingi Sana.
Sikumbuki Ni ipi
hapo umetudanganya. Mbulu hakuna kijiji kinaitwa Leboro. na Pia hakuna kata inaitwa Mama Isara.Leboro ni kijiji kingine kipo Manyara wilaya ya mbulu kata ya mama isara, ni chimbuko la wambulu (wairaki) niliwahi kwenda kukaa na kufanya shughuli zangu pale kwa muda pia, ni mahali pako vizur sana milima ile hali ya hewa ya ubaridi.. napakumbuka sana!
Umechanganya mafile.Ile ambayo nilikuwa nakutongoza afu ukanipiga kibuti
Why wataka retire mkuu?
Bora uritaye uondoe msongamano kwa wachuchu
Nakutwanga ban mpaka kwenye server...Hahaha, na retire hapa ila PM nabaki.
Hee hii Ndula inaitwa kichwa cha Ng'ombe nililetewaga na Mama toka Dubenga(Dubai)Ilinunuliwa kama laki3 za Bongo ivi,hii waga naivalia na mnyonyo kama unavouona apa fas ya Avatar,alaf nakupigia na Shati iyo inaitwa Dawg dawg inakua yenteChalii nimependa iyo buti hapo kwa avatar
Me nimejiita hili jina kutokana na series moja ya kikorea niliyowahi kuiona inaitwa innocent defendent sijawahi kuiona series Kali duniani Kama hii yenye ubunifu mkubwa, yenye utamiaji wa akili pamoja na ngumi alafu pia ni unpredictable.
Me nimejiita hili jina kutokana na series moja ya kikorea niliyowahi kuiona inaitwa innocent defendent sijawahi kuiona series Kali duniani Kama hii yenye ubunifu mkubwa, yenye utamiaji wa akili pamoja na ngumi alafu pia ni unpredictable.
Huo wimbo hata mimi naupenda oh bella ciao bella ciaooKama umeangalia Lacasa de Papel... Kuna nyimbo anapenda kuuimba Berlin na Professor....
Bella ciao maana yake ni kwaheri mrembo, original ya huu wimbo ni wimbo wa mapinduzi katika nchi ya ITALIA