Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Halafu kwanini jina lako umechagua kulipangilia hivyo kiherufi yaani MLEVi Mmoja na siyo labda Mlevi Mmoja au vinginevyo?
 
Hivi hawa watu wenye id zaidi ya moja mnawajuaje mbona mimi simjui hata mmoja?
Hao wanafanana hizo avatar

Nahisi waweza wajua kutokana na uchangiaji wao..asili ya mwenye nyuma ya keyboard haipotei..atavunga ila iko siku ataanguka kwenye 18 hapo ndipo wanapoumbukaga hawa wenye I'd mbili au tatu
 
Mahalipema peponi, Ni maombi ya kila kiumbe chenye imani na uwepo wa Mungu kuwa atakapokufa basi Mungu ampokee na amlaze mahalipema peponi.
Kila ninachokifanya hapa duniani najua kuwa ipo siku nitakufa na kama nitakufa makazi yangu yatakuwa wapi, motoni au peponi? Nikumbuka ukali wa moto basi nakosa raha na kuzidisha maombi ili siku nikifa Mungu anipokee na anilaze Mahalipema peopi.
Ni hayo tu, nikumbuka kifo naiwaza pepo ambako ndiko mahalipema.
 

Duuuhh!! Nimeipenda mkuu,itafutie uzi wake kabisa hyo story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…