Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Yes i am sweetheart...Usijali lakini. You got that business spirit with you?
Halafu mimi ni kinyume chako I am an Introvert na mara ya kwanza kabisa nilitaka nijiunge na id ya Introvert nikaambiwa tayari ipo ndiyo nikaja na ya Edelyn halafu nikakutana na mtu anajiita Extrovert
 
Kingozi! Akili yangu ni nzito sana.

Unaweza ukaenda taratibu hapo kwenye Bibi na Babu nakadhalika? Hizo mimi huwa zinanichanganya sana. Zikitumika sentensi huwa nashindwa kuielewa.

Samahani lakini.
Yaani kwa mfano wewe umeoa mke.
Wazazi wa kwako na wa mke wako wanaitana kayemba
 
Back
Top Bottom