financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
I tried for sometimes, nakumbuka soon after kumaliza chuo, nilikua nafanya online business nilikua nauza viatu flani hivi kama Vya kimasai hapo sina mtaji wala nini, nilichokua nafanya nawatamanisha watu na pics then wakivipenda wanalipia nawafanyia delivery Kwa uaminifu mkubwaa, niliokua nawauzia nao wengine walikua wanauza, aisee nilipata pata vipesa, nikawa hadi nasave ,baadaye nikawa busy na kutafuta vibarua so wateja wakapungua maana nashindwa kudeliver mzigo sababu ya ubusy , pia Viatu hivo vimekua vingi hadi fake vyenye bei rahisi.Ooh my G! Thats sweet of you. What if just give it a shot? Just getting engaged in it.[emoji41][emoji41][emoji41]
The good feeling, nnayokumbuka kwenye hiyo biashara ni ile mtu akituma hela ,ikiingia kwenye simu tu nishajua my net profit[emoji3] , was real interesting.
Nakumbuka kuna siku ndugu yangu alinitafutia oda ofisini kwao duuh, nilipata oda zaidi ya 10 pairs afu nilipandisha bei sababu hiyo ofisi wako vizuri[emoji3] [emoji3] ,ilikua poa sanaa.