Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huyu Humble African ajitokeze Basi kumaliza utata.Aisee mwenyewe nishawahi kumuuliza nikahisi ni humble African , ila alisema siyo yeye etii
Mimi siku zote najua ndio huyu mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Humble African ajitokeze Basi kumaliza utata.Aisee mwenyewe nishawahi kumuuliza nikahisi ni humble African , ila alisema siyo yeye etii
Itakuwa chapati hukunji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mie nimesahau!
Basi itabidi wewe uchukue nafasi yake. Hupendi kulelewa na babu?Utakuwa san kwa vile yeye ni doughter
Bebe punguza maswaliSasa hivi una wangapi?
Yaani, afu Mimi nilikua na shida naye ajitokeze tuu, we mleta Uzi si wewe kwelii?[emoji3] [emoji3]Huyu Humble African ajitokeze Basi kumaliza utata.
Mimi siku zote najua ndio huyu mleta mada
Yeah pengine sifa anazo ila kuoa ni uamuzi wa mtu... And yes tunaoa wenye sifa nzurSasa kumbe mnavyotajaga sifa za wanawake mnaotaka kuwaoa huwa mnatuzeveza siyo? Sasa huyo mbona kama anazo nyingi tu na haujamuoa? Wanaume bwana
Nimependa kupanga hvyo naona lapendezaHalafu kwanini jina lako umechagua kulipangilia hivyo kiherufi yaani MLEVi Mmoja na siyo labda Mlevi Mmoja au vinginevyo?
Mda wowote kichwa kikinituma right now naandika nashushia konyagi yangu taratibu karibu.. MkuuNaona bado uko sober, huwa unakuwa drunk kuanzia saa ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo inamaanisha hivyo?
Ile ya chumbani??Ile unayoipenda.
Sound ya mlipuko..Na wewe nini maana ya jina lako?
Hapana, ya sebuleni.Ile ya chumbani??
Hahaha unakimbia maswali wakati nataka niwekeze hapo jamani,Bebe punguza maswali