Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Ooh my G! Thats sweet of you. What if just give it a shot? Just getting engaged in it.[emoji41][emoji41][emoji41]
I tried for sometimes, nakumbuka soon after kumaliza chuo, nilikua nafanya online business nilikua nauza viatu flani hivi kama Vya kimasai hapo sina mtaji wala nini, nilichokua nafanya nawatamanisha watu na pics then wakivipenda wanalipia nawafanyia delivery Kwa uaminifu mkubwaa, niliokua nawauzia nao wengine walikua wanauza, aisee nilipata pata vipesa, nikawa hadi nasave ,baadaye nikawa busy na kutafuta vibarua so wateja wakapungua maana nashindwa kudeliver mzigo sababu ya ubusy , pia Viatu hivo vimekua vingi hadi fake vyenye bei rahisi.

The good feeling, nnayokumbuka kwenye hiyo biashara ni ile mtu akituma hela ,ikiingia kwenye simu tu nishajua my net profit[emoji3] , was real interesting.

Nakumbuka kuna siku ndugu yangu alinitafutia oda ofisini kwao duuh, nilipata oda zaidi ya 10 pairs afu nilipandisha bei sababu hiyo ofisi wako vizuri[emoji3] [emoji3] ,ilikua poa sanaa.
 
Huyu Humble African ajitokeze Basi kumaliza utata.
Mimi siku zote najua ndio huyu mleta mada
hapana si mimi, watu wengi wanadhani kua naficha id, sina sababu hiyo! nadhani sababu kubwa ni historia nyuma ya picha hio!
.
.
huyo ni Obama na ilikuwa picha maarufu sana, hata baadhi ya watu kama January makamba alishawahi kuandika story kuhusu hio picha, na ndipo nilipoikuta!!
.
.
Amani iwe nanyi!!
 
Oooh!!!

By the way we ni mpole, vile tu watu wanaweza judge mtu kwa kusoma post yake moja au mbili...

Cheers!!!
Asante, haha the other one is my famous nickname wengi wanaonijua nje ya JF wanalijua lile jina na ukizingatia ninayoandika humu sivyo nilivyo basi kuna watu wakaanza kunifuata wakisema hawaamini kama ni mimi ndiyo naandika haya ninayoandika humu

Wakati kiuhalisia mimi ni mpole ila humu naonekana nina mdomo nikasema mimi ndiyo napenda nionekane hivi humu ila nikaona isiwe taabu acha nibadilishe tu nitafute id ambayo hamna mtu yeyote anayenijua anaijua then nikaona hii ndiyo inafaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baby hili tusi unalipenda.
Leo ngoja niulize kwanini?
Kwa sababu nayapenda...Si uwa natumia kwako tu??..Umeniona sehemu nyingine??
 
hapana si mimi, watu wengi wanadhani kua naficha id, sina sababu hiyo! nadhani sababu kubwa ni historia nyuma ya picha hio!
.
.
huyo ni Obama na ilikuwa picha maarufu sana, hata baadhi ya watu kama January makamba alishawahi kuandika story kuhusu hio picha, na ndipo nilipoikuta!!
.
.
Amani iwe nanyi!!
Hadi mwandiko Ni uleule .
Brother tuambie ukweli..sisi tunauliza kwa Nia njema tu.
 
Back
Top Bottom