Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

wow...uko njema mtoto mtam😘😘😘 napenda watoto wanaojitahidi kujishughulisha, are you employed mamacita?
 
Mwanzo nkajua unamaanisha ile mimics sjui wanaiandika mimicry skumbuki spelling ya mambo ya ikolojia
Jina langu katikati kuna 'mi' baadhi ya marafiki zangu hupenda kuniita 'mimi'. 'Ks' sijui ilitokea wapi, niliongezea tu haina maana yoyote. Na haipo popote katika majina yangu sijui kwanini niliweka 'ks'
 
storm shadow (the white ninja
Nilishasahau nikakumbuka wakati nikijiunga jf ni character wa movie ya G.I.JOE (rise of cobra & retaliation) bwana byung hun Lee huyu mkorea nikwereee
 
Mwanzo nkajua unamaanisha ile mimics sjui wanaiandika mimicry skumbuki spelling ya mambo ya ikolojia
Hapana. Nadhani niliweka mimi peke ake ikakataa nikaongeza ks. Ilikuja tu hiyo ks au labda at that moment ilikua na kasababu ambako sio muhimu na cha maana ndio maana sikumbuki.
 
Mimi ni mtu wa tofauti kidogo ninapokuwa sehemu ya public au nikiwa chuo shuleni baada ya kukaa kwa muda huwa najikuta nimekuwa maarufu sana kuliko jina langu japokuwa huwa najiweka kama mtu asiye na lolote lakini watu wanatokea kunikubali hata kama sijafanya la maana au sifa ndio maana nikaamua kujiita Lord eyes najua nikiliweka humu robo ndio wanaonifahamu kwa jina langu halisi japo humu hawaji fahamu vizuri nikiji thibitisho sura yangu halisi najua mutashanga kumbe ndio huyu
 
Aisee...I like it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…