Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Utaalamu wa kielimu au? Na vipi kule mtu anaheshimika akiwa na ngazi ipi ya elimu?
Ndiyo..utaalamu wa kielimu ...mfano udaktari, ualimu., Injinia n.k....
Lakini mpaka Wamarekani wakukibali kuwa mwl wa wanafunzi wao, wanakuchekwcha haswaaa...elimu yao haifanyiwi majaribio....
Ukiwa na masters au phd unakuwa na wakati mzuri zaidi kwa kazi za kitaaluma...
Degree incase ni mwalimu, unakuwa mwalimu msaidizi...teaching assistant.
Kazi nyinginezo high school au diploma...hizi ni kazi za nguvu zaidi akili kidogo...mfano kuendesha mashine za shambani, viwandani, uhudumu, usafi n.k
Zipi zinalipa zaidi?
Duuh ila si nasikia watu weusi kupata ajira marekani ni ngumu? Na ndiyo maana wengi wamekimbilia kwenye muziki?
Kazi nyepesi Ni Kama zipi?Kazi nyingi za kitaaluma kule zinalipa sana...mfano ualimu, daktari, injinia nk...
Kazi nyinginezo zinalipa kawaida though ukitunza ujira wako ukaja nyumbani Ukabadikisha dolar zako kwa hii hela yetu yenye tembo, aisee unapata nyingi...
Kazi za kawaida mara nyingi wanafanya kwa shift ya masaa manne manne....kwa sisi wagumu unapigania zile shift ngumu za usiku ambazo wazungu laini laini wanazikimbia...
Hakuna kazi nyepesi...wepesi ni pale unapoingia mchana, usiku upumzike..so mara nyingi shift za jioni zinaonekana kuwa ngumuKazi nyepesi Ni Kama zipi?
Kwa hiyo naweza kuwa mfanya usafi nikatengeneza hela nzuri tu huko inayozidi hela ya huku kwetu ya kuajiriwa km accountant au doctor?Hakuna kazi nyepesi...wepesi ni pale unapoingia mchana, usiku upumzike..so mara nyingi shift za jioni zinaonekana kuwa ngumu
Haina hata historia ndefu
Tunajua umezaliwa mwaka 1990 Mzigua90Kabila langu. Hiyo 90 sijui ilipotokeaga
Ujue una bahati sana kuwa na mke kama mimi. Lasivyo usingekuwa kaboom.Ujeuri wako ni diet tosha..Sihitaji kwenda gym.
Kazi za kawaida kama hizo za usafi kwa kipindi hicho ilikuwa $7 kwa lisaa limoja...kwamfano kwa wiki ukifanya masaa 40 x 7 = $280 kwa wiki..endapo unafanya full time... $280 x 4= $ 1120 kwa mwezi....ambazo ni zaidi ya milioni 2.3 za kibongo...huyo ni mfanya usafi anayefanya masaa nane kwa siku..siku tano za wiki.....Kwa hiyo naweza kuwa mfanya usafi nikatengeneza hela nzuri tu huko inayozidi hela ya huku kwetu ya kuajiriwa km accountant au doctor?
Vipi upatikanaji wa hizo kazi??Kazi za kawaida kama hizo za usafi kwa kipindi hicho ilikuwa $7 kwa lisaa limoja...kwamfano kwa wiki ukifanya masaa 40 x 7 = $280 kwa wiki..endapo unafanya full time... $280 x 4= $ 1120 kwa mwezi....ambazo ni zaidi ya milioni 2.3 za kibongo...huyo ni mfanya usafi anayefanya masaa nane kwa siku..siku tano za wiki.....
Nadhan accountant wa hapa Bongo anaweza kutengeneza pesa nyingi za dili magumashi....si mshahara...kule hakuna dili magumashi
Na aliyeturoga alikufa zamani za kaleHuwa nasikia hivyo lakini binafai sina uhakika sana...kwa sababu States zote nne nilizoishi nilikuwa naona watu weusi wengi tu wameajiriwa twna kazi za maana...weusi waliotoka Africa wengi ndiyo unakuta wanafanya kazi za kawaida....yes kazi za kawaida kwa marekani..lakini mtu huyo wa kawaida kwa mwezi anatengeneza mishahara mitatu ya Daktari wa huku nyumbani....
Wanaijeri, wakenya na Waethiopia ni wengi sana..wao wanapeana fursa....
Sisi wabongo tulilogwa....