Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ndiyo..utaalamu wa kielimu ...mfano udaktari, ualimu., Injinia n.k....
Lakini mpaka Wamarekani wakukibali kuwa mwl wa wanafunzi wao, wanakuchekwcha haswaaa...elimu yao haifanyiwi majaribio....
Ukiwa na masters au phd unakuwa na wakati mzuri zaidi kwa kazi za kitaaluma...
Degree incase ni mwalimu, unakuwa mwalimu msaidizi...teaching assistant.
Kazi nyinginezo high school au diploma...hizi ni kazi za nguvu zaidi akili kidogo...mfano kuendesha mashine za shambani, viwandani, uhudumu, usafi n.k

Utaalamu wa kielimu au? Na vipi kule mtu anaheshimika akiwa na ngazi ipi ya elimu?