Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Vyakula vingi vilivyopo huku kule pia vipo...kinachotufautiana sana ni mapishi..

Mchele upo unauzwa,viazi, nyanya, hoho..n.k..
Ndizi nilikuwa napata mbichi na mbivu ila zina utofauti kidoogo na huku kwetu..
Daladala no...[emoji16][emoji16].Wana mabasi kama haya ya mwendokasi ambayo hayana conductor..unatumia kadi au cash....ukifika kituoni kwako unabonyeza tu swich, dereva anasimama..[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Wenzetu wameendelea zaidi..

Hatufanani muda...Kwa mfano ukiwa majimbo ya mid west kama Chicago, Indiana na Iowa ambapo ndipo nilikuwa naishi, tunapishana almost masaa 8...Tanzania ipo mbele kwa masaa 8...kwa mfano huku ikiwa ni saa 4 usiku, kule ni saa 8 mchana siku hiyo hiyo...
Huku pakiwa saa 8 mchana kule ni saa 12 asubuhi...ndiyo panakucha..

Kwa majimbo yaliyopo Mashariki zaidi mfano Washington DC napo nilikaa tunapishana masaa kama 7..
Majimbo yaliyopo Magharibi zaidi tunapishana nayo masaa mengi 8 na zaidi....ile nchi ni kubwa sana..
.[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji39] kwa hiyo kule ikifika kati ya saa 6 mpaka 8 mchana (majimbo niliyoyataja coz ndipo nilipoishi) ndiyo unampigia cm mtu wa TZ kumtakia usiku mwema...ambapo huku huwa ni kati ya saa 2 mpaka 4 usiku...

Kupata maruweruwe ya usingizi siku za mwanzo ni kawaida...tofauti ya masaa 8 si ndogo....na isitoshe miezi hii ya Summer, Kule jua linazama saa mbili usiku[emoji83][emoji83][emoji83]....This is crazy
 
Ohoo..kwa hiyo Hadi nyanya unanunua huko store hakuna Cha genge?!
Lkn si unaweza jilimia bustani home..vipi km kwa mfano nikalima mboga,,siruhusiwi kuuza kienyeji Hadi nizipeleke huko store!??Kama Sina store je?
Hivi Hadi huko kuna mabutcher ya nyama?
Kule wao wanapikaje!??
Ukute mapishi yao hayaliki. Sisi tumeshazoea ubwabwa wetu huku[emoji3].

Hayo ma mwendo Kasi ya huko SI ntajikuta siku ya kwanza napitiliza kituo..maana nitakuwa sijakariri vizuri.
 
Yes...ukiingia store/super market, unakuta mpango mzuri...sehemu ya vyakula utanunua vyakula vyote, sehemu ya mboga mboga, matunda, sehemu ya nyama samaki, maziwa. [emoji39][emoji39][emoji39]
Sehemu za electronics, nguo n.k..... everything is in there....
Binafsi sijawahi kuona genge kama haya magenge ya kibogo...
Sijui kwa majimbo mengine ila sidhani kama kuna magenge kama lile genge la mama Juma..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bila genge maisha magumu.
Vipi nguo za mitumba nguo zetu zile za Mia tano Mia mbili zipo!??
Au ndio Hadi huko supermarket vya Bei kali?[emoji3]
 
Nmeelewa Sasa.. Kuna mtu niliwahi wasiliana nae asubuhi saa 12 ananiambia gud night my daughter anaenda kulala..
Ila kuna siku nimechoka balaa saa6 usiku yeye amekaza tu kuchat..ikabidi nimwambie mama nimechoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo mauzauza nahisi naweza kuyapata kila siku ,mchana kuwa usiku usiku kuwa mchana[emoji1]
 
Aiseeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bila genge maisha magumu.
Vipi nguo za mitumba nguo zetu zile za Mia tano Mia mbili zipo!??
Au ndio Hadi huko supermarket vya Bei kali?[emoji3]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mfano nilipokuwa Iowa, nilioma store moja inauza used clothes and other domestic items...ila bei inafanana tu na sehemu kama Walmart, Costco, n.k...kwa hiyo mtu unaona bora uende aidha Walmart, Costco au kweye shipping mall ukanunue vipya....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
For the very first days, utaona maruwe ruwe ...[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku Tz saa 2 Asubuhi ukimpigia mtu wa kule simu, unakuta ndiyo mudawake wa kulala ili aamkie siku mpya ambayo wewe umeshaiona....Tz tunaanza kuona siku mpya
 
Yee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora nibebe cherehani na vitenge vyangu.
Nikijisikia kuvaa nguo mpya Basi najishonea..

Sasa hiyo work permit inapatikana wapi boss na nikipata uhakika wa kupata kazi upo!?
 
For the very first days, utaona maruwe ruwe ...[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku Tz saa 2 Asubuhi ukimpigia mtu wa kule simu, unakuta ndiyo mudawake wa kulala ili aamkie siku mpya ambayo wewe umeshaiona....Tz tunaanza kuona siku mpya
Sio 1st day tu.
Wiki nzima eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Jua linazama saa 2 usiku!!?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Sawa Rafiki.

 
Mimi kuna mtu wakati JF inaanza alikuwa na signature post nzuri sana inayotokea kila akipost issue zake na katika kila comments zake ilikuwa inatokea na katika hayo maneno (siyakumbuki) revolution ilikuwa ni mojawapo. Nikalinyakua.....hivyo ninapenda mapinduzi ila sio ya kiserikali, kichama, kijamii ama kidini bali mapinduzi ya kifikra.
 
Hahah mama hayo mengine utaadapt tu taratibu aise
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi Lizarazu ametoa tafsiri ya jina lake!?
Ukute tubabishana nae kila siku kumbe jina lake maana yake Ni Babu wa mfumo dume kandamizi [emoji3][emoji3]
 
Yee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora nibebe cherehani na vitenge vyangu.
Nikijisikia kuvaa nguo mpya Basi najishonea..

Sasa hiyo work permit inapatikana wapi boss na nikipata uhakika wa kupata kazi upo!?
Hiyo work permit una... apply kwa kujaza fomu kwa U.S. Citizenship and Immigration Services (USCIS). ambacho ni kitengo kinachohusika kwa kutoa vibali kwa wageni kufanga kazi Marekani..watahitaji docs chache kwako kama vile picha za passport, kuna fomu flani flani utajaza then utapewa kitambulisho ambacho ndiyo work permit yenyewe....hiki utakionyesha kwa mwajiri anayetaka kukuajiri ili ajue uhalali wako kufanya kazi America
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…